Mbu kanipatia msongo wa mawazo

Mbu kanipatia msongo wa mawazo

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
10,392
Reaction score
20,581
Hakika leo nimekumbwa na msongo kisa mbu. Nimeamka asubuhi nikakuta mbu ndani ya neti. Kitu cha kushangaza ni kuwa alikua ametuna tumbo mpka kupaa ilikuwa tabu kwake. Yaani kaninyonya damu mpaka basi.

Nimeumia sana kwa kumwona. Na hadi sasa nipo kazini roho inaniuma nikiwaza alipata upenyo upi kuingia ndani ya neti isiyo na tundu?

Hapa najiuliza atakuwa yule anopheles wa malaliria ama? Daah kuna vitu vinaweza kuwa vya kijinga ila vikamkaa mtu na asiongelee maana ataonwa mjinga.
 
Mimi sipendi nzi, nzi akiingia chumba cha kulala sipati usingizi hadi nimtoe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom