Wangewaza kama wewe hapo hata nchi isingefikoa hapa ilipoWangetafuta suluhisho wa haya yanayoendelea na sio kutumia mbinu zilezile zilizofeli
Kwahiyo wewe unafikiri Heche hafaaham hilo?Sipo hapa kumtisha ila nipo hapa kumpa alert kujilinda zaidi, anajadiliwa sana na watu wa kulee, awe makini sana!
Naomba usipuuze hii!
Kaa maeneo salama na pia avoid any meeting na yeyote atakayekuita week hii Oysterbay
Britanicca
Si wanashauriana vipi, wanaendeleaje kutumia njia ile ile inayoleta mgawanyo na kuchukiwa na wananchi zaidi?Wangewaza kama wewe hapo hata nchi isingefikoa hapa ilipo
Kaa maeneo salama na pia avoid any meeting na yeyote atakayekuita week hii Oysterbay🥺Sipo hapa kumtisha ila nipo hapa kumpa alert kujilinda zaidi, anajadiliwa sana na watu wa kulee, awe makini sana!
Naomba usipuuze hii!
Kaa maeneo salama na pia avoid any meeting na yeyote atakayekuita week hii Oysterbay
Britanicca
Alikaa miezi miwili kizuizini au umesahau ?Ila Heche naye huwa hakamatwi sana pamoja na kutema sumu lakini jamaa huwa hapatagi hekaheka au naye nikitengo nini? Pia huwa haogopi kipindi kile wengi walikimbia nje ya nchi ila yeye alibaki
Kwa sasa sidhani kama kuna kitu chochote kibaya kinachoweza kufanywa na watu wa mfumo kwa sababau kadhaa ikiwepo mchakato wa maridhiano na tishio la tawala za magharibi.Sipo hapa kumtisha ila nipo hapa kumpa alert kujilinda zaidi, anajadiliwa sana na watu wa kulee, awe makini sana!
Naomba usipuuze hii!
Kaa maeneo salama na pia avoid any meeting na yeyote atakayekuita week hii Oysterbay
Britanicca
Jidanganyeamewindwa ni muda mrefu sasa. Pamoja na kujilinda Mungu Yuko pamoja naye! wenye haki wote na hao wenye kuzisimamia haki watalindwa na nguvu za Mungu.
MUNGU WA KWELI YUKO UPANDE WA WATETEA HAKI.
maccm yanafadhiliwa na masheitwani. shetani ni adui aliyeshindwa tayari
Matako yao wote wenye mawazo machafu dhidi ya kamandaSipo hapa kumtisha ila nipo hapa kumpa alert kujilinda zaidi, anajadiliwa sana na watu wa kulee, awe makini sana!
Naomba usipuuze hii!
Kaa maeneo salama na pia avoid any meeting na yeyote atakayekuita week hii Oysterbay
Britanicca
Niweke Sawa hapa mkuu, hii imekaaje ?Huko makambini unaambiwa wameambiwa wake standby
Hahaha
Gentleman,Sipo hapa kumtisha ila nipo hapa kumpa alert kujilinda zaidi, anajadiliwa sana na watu wa kulee, awe makini sana!
Naomba usipuuze hii!
Kaa maeneo salama na pia avoid any meeting na yeyote atakayekuita week hii Oysterbay
Britanicca
Lakini pia hata kama wananchi hawataandamana iyo 7/7 shughuli zitasimama je hii Ina tija?Kwa sasa sidhani kama kuna kitu chochote kibaya kinachoweza kufanywa na watu wa mfumo kwa sababau kadhaa ikiwepo mchakato wa maridhiano na tishio la tawala za magharibi.