Recent content by Triple2021

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ndoa yangu imevunjika

    Ya Mungu Mengi.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hizi ngoma zinaitwaje nazitafuta sana

    Hiyo Aisha aisha..Inaitwa "Aicha" kaimba "Cheb Khaled"
  3. T

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

    Ni hulka( human nature) ya binadamu kutaka kujaribu mambo mapya
  4. T

    JamiiForums Tanzania Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

    100% wote wachepukaji! wife wako alienda kuliwa na sio mara moja!!
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nataka niache kuvuta bangi lakini nashindwa

    Wavuta bangi wengi ni creative kwanini uache sasa!!? endelea kupiga Jani
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ukienda kwa Nabii T.B. Joshua, jihadhari sana

    Ni kweli!! niliposoma kichwa cha habari na yaliyoandikwa ni tofauti!!
  7. T

    JamiiForums Tanzania RC mpya wa Geita ashangaa stendi kuu ya Mkoa kuwa ya matope wakati kuna utajiri wa dhahabu

    umeongea kitu cha maana sana!! wengi ya waafrika tunaangalia kesho yake tu!! Hatuangalii wakati ujao!! Huo uwanja wa ndege utakuja kutufaa baadae fursa za mikoa hiyo ikifunguka!!
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ushawahi zimikiwa na jiko la gesi ukiwa unapika?

    Alafu mbaya zaidi huwa inakata usiku usiku😀
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

    hahahahah!!
  10. T

    JamiiForums Tanzania Naanzaje kumtongoza huyu msichana aliyekuja ofisini kwetu?

    kama yupo dsm nipe uone watu tunavojua kucheza na Wrong number...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Naanzaje kumtongoza huyu msichana aliyekuja ofisini kwetu?

    nipe namba yake nikusaidie!! kufika jpili nitakupa majibu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu hataki kuniita Baba nifanyaje?

    Unataka kulazimisha ubaba sio? 😀
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nani amemkwamisha Tajiri Diamond kununua private jet?

    mkuu kupanga sio ishu ni matakwa ya mtu mwenyew!! Kuna mzee mmoja ni Mmiliki wa JD pharmaceuticals LTD, ana branches kila mahali za pharmacies kama kuna pharmacy inaitwa Jd mlimani city ya kwake, Jd pale Aura mall ni bilionea lakini kapanga masaki! Kupanga ni choice ya mtu..😀 Tena kama...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

    Vipi ulimkatalia au ulimwambia jisevie mama yote ya kwako
Back
Top Bottom