Nani amemkwamisha Tajiri Diamond kununua private jet?

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
48,520
2,000
Wana jamvi wasalaam!

Hivi karibuni kulikuwa na taarifa hapa nchini kuwa msanii Diamond amenunua private jet na huku wakisindikizwa na picha wakiwa kwenye ndege hiyo!

Wengi walisema ni kiki na ikumbukwe kuwa kipindi zinatoka habari hizi ni kipindi ambacho Msanii Harmonize alikuwa ametoa wimbo wake wa “atitudoo” na wengi walichukulia ni mbinu za kumkwamisha au kuzimisha “atitudooooo”

Tasnia ilifurahia sana hatua ya Msanii Diamond kununua private jet kwani ilikuwa ni hatua kubwa kwani ukizingatia tulitoka kujuzwa ana miliki nyumba “126” japo wengine walihoji inakuwaje mtu ana miliki nyumba “126” ande kupanga kwenye nyumba ambayo anaweza kuinunua tena haiwezi kuzidi 1billion”

Wengine walihoji kwanini asiuze nyumba hata 30 halafu aongeze pesa anunue hiyo nyumba anayo ishi sasa ambayo amepanga?

Lakini kibaya zaidi ni kitendo cha tajiri Diamond kushindwa kurudi na private jet yake aliyo inunua hivi karibuni?
Watu wanajiuliza inakuwaje amerudi bila private jet? Nani amemuhujumu? Nani amezuia kutua kwa hiyo ndege hapa nchini?

Wasalaam
 
Triple2021

Member
Apr 7, 2021
25
75
mkuu kupanga sio ishu ni matakwa ya mtu mwenyew!! Kuna mzee mmoja ni Mmiliki wa JD pharmaceuticals LTD, ana branches kila mahali za pharmacies kama kuna pharmacy inaitwa Jd mlimani city ya kwake, Jd pale Aura mall ni bilionea lakini kapanga masaki! Kupanga ni choice ya mtu..😀
Tena kama ulikua hujui matajiri wengi ndo wanaongoza kwa kupanga...ila unaweza kuta anamiliiki apartments za kufa mtu
 
Darmian

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
12,787
2,000
mkuu kupanga sio ishu ni matakwa ya mtu mwenyew!! Kuna mzee mmoja ni Mmiliki wa JD pharmaceuticals LTD, ana branches kila mahali za pharmacies kama kuna pharmacy inaitwa Jd mlimani city ya kwake, Jd pale Aura mall ni bilionea lakini kapanga masaki! Kupanga ni choice ya mtu...
JD wanakimbiza kinoma..
 
Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
5,637
2,000
Hakuna mahali Diamond amesema kanunua private Jet , ni watu Tu kuunganisha caption , Diamond ndo mwanadamu anayefatiliwa zaidi hapa bongo kwenye mitandao ya kijamaii , iwe positive au negative ndo mtu ambaye jina lake linaguswa zaidi kuliko mtu yyte ......nachojua alichothibitisha hvi karibuni ni kuwa ana nyumba sinza na amemkabidhi mama yake ale hela ya Kodi ......

Kuhusu nyumba 126 , diamond hajawah kusema , ni machawa tuu kuuchangamsha mji , hata hvyo Mali za diamond hazitakuja kujulikana kamwe na anayezijua Kwa usahihi ni mama yake tuu hii ni kutokana jamaa kazaa na wanawake tofauti wasaka fursa , lolote laweza kutokea
 
MrConveter

JF-Expert Member
Jul 4, 2017
307
500

Exactly
 
DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
13,506
2,000
mkuu kupanga sio ishu ni matakwa ya mtu mwenyew!! Kuna mzee mmoja ni Mmiliki wa JD pharmaceuticals LTD, ana branches kila mahali za pharmacies kama kuna pharmacy inaitwa Jd mlimani city ya kwake, Jd pale Aura mall ni bilionea lakini kapanga masaki! Kupanga ni choice ya mtu...
Wahindi kupanga ni jadi yao tangu Lile mtafaruku wa azimio la Arusha.
 
Ramo

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
1,597
2,000
Naunga hoja..
Hakuna mahali Diamond amesema kanunua private Jet , ni watu Tu kuunganisha caption , Diamond ndo mwanadamu anayefatiliwa zaidi hapa bongo kwenye mitandao ya kijamaii , iwe positive au negative ndo mtu ambaye jina lake linaguswa zaidi kuliko mtu yyte ......nachojua alichothibitisha hvi karibuni ni kuwa ana nyumba sinza na amemkabidhi mama yake ale hela ya Kodi ......

Kuhusu nyumba 126 , diamond hajawah kusema , ni machawa tuu kuuchangamsha mji , hata hvyo Mali za diamond hazitakuja kujulikana kamwe na anayezijua Kwa usahihi ni mama yake tuu hii ni kutokana jamaa kazaa na wanawake tofauti wasaka fursa , lolote laweza kutokea
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom