Sasa mula mula mbona kama safari zake hazina faida kwa taifa, anashindwa kutafuta marafiki watuuzie kwa bei ya kishkaji
Halafu hili soko la dunia liko wapi na si tupeleke mahindi yetu uko inaelekea soko tamu sana hilo
Kuna duka moja linauza nguo za ndani za kike pale palm village, lile duka now days limeingia kwenye biashara ya SEX TOYS kwa wadada aisee huwa nikitafakari hiyo biashara, naimani kabisa wateja wengi ni addicts wa pornographs ambao hawaridhishwi na binadamu wa kawaida.
Na wafanyabiashara wana...
Dah hii hoja kali sana sidhani kama ataweza kuipangua nadhani alijua shughuli zote hizo zinafanywa na marobot hakuelewa kwamba zote zinaratibiwa na kuendeshwa na watu ambao ni waajiriwa wa serkali ambao wanaidai serikali malimbikizo yakutosha ya stahiki zao na kwa muda mrefu.
Hii kujipanga imezeesha wengi wakiwa single, riziki mafungu huezi jua lini utapata zaid na ziada
Ila sikuzote mwanamke mwenye akili akikukuta na kidogo lazima kitamultiply na hiyo ndo asili ya mwanamke ukimpa mbegu anakupa mtoto ukimpa jengo anakupa nyumbani
Kujipanga sidhani kama ni solution...
Dah! Hii nilidhani inanitokeaga mimi tu kumbe jamaa wako viral.
Ila bar nyingi za dar sikuiz huduma kwa mteja imeshuka labda kama wanakujua si baunsa si wahudumu especialy wahudumu wa kiume wako arrongant sana unless umtip kabla ya huduma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.