Miaka 60 na CCM Madarakani: Ujinga, umaskini na maradhi bado havijaondoka

Lack of education
Hahaha, tahira mkubwa, unaandika upuuzi wako hapa unataka kila mtu akusapoti? Unadhani mapinduzi ni jambo rahisi tu? Mara tunamtaka Rais dikteta, akaja Magu, matusi kila siku, Kaja Samia naye mnamtukana, now mnataka jeshi, nyie jamaa ni wapumbavu sana
 
Kufaidi keki ya taifa ni suala la serikali inayotawala kuhakikisha maendeleo yanakuwa diversified. Hii ni kuhakikisha kuwa kila sehemu ya nchi yetu inapata maendeleo kwa usawa na kwa uwiano unaotakiwa bila ubaguzi.

Leo hii Ccm baada ya kutawala kwa miaka 60 hali ya maisha ya wananchi wa kawaida ni mbaya na inatia huruma.

Ccm peke yao ndio wanafaidi matunda ya taifa letu, huku wananchi wa kawaida tukiteseka. Kila kitu ni kwa wanaCcm vigogo ambao wanakula keki ya taifa kama mali yao.

Ili kukabiliana na huu uonevu wa Ccm tunakiwa kama watanzania kufanya mapinduzi ndani ya mioyo yetu na kuikataa Ccm. Mapinduzi sio kushika bunduki na kuondoa madhalimu bali ni kubadilika na kuwakataa kwa kila namna.

Hawa CCM wanajua hawakubaliki na ndio maana wanatumia vyombo vya dola kubaki madarakani, hali kama hiyo ni ishara kwamba CCM ni Farasi anayeanza kufa, last kicks of a dying horse---- Farasi anayekufa hurusha miguu kwa.mara ya mwisho kama ishara ya kifo chake ndivyo CCM inachofanya kwa kutumia nguvu za dola kubaki madarakani na imeshindwa kupata nguvu ya upendo wa moyoni wa raia ili isalie madarakani.---- Angalia matokeo ya aina hiyo katika nchi zingine ndio utajua Historia ni Mwalimu.
 
Nakubaliana na wewe Kiasi fulani, isipokuwa TATIZO letu Lingine Kubwa...Vyama serious vya Upinzani hakuna.... Vingi vilivyopo ni Saccos Za Watu...!
Yaani hapo ni sawa na ukisimama mshale, Ukikaa mshale.
Bora mkuu tuwape hata saccos hizo awamu moja tuwapime kuliko kuwa na chama kimoja ambacho kwa sasa hata halieleweki ndio kimepoteana kabisa ifike mahari wakae benchi kidogo
 
Kufaidi keki ya taifa ni suala la serikali inayotawala kuhakikisha maendeleo yanakuwa diversified. Hii ni kuhakikisha kuwa kila sehemu ya nchi yetu inapata maendeleo kwa usawa na kwa uwiano unaotakiwa bila ubaguzi.

Leo hii Ccm baada ya kutawala kwa miaka 60 hali ya maisha ya wananchi wa kawaida ni mbaya na inatia huruma.

Ccm peke yao ndio wanafaidi matunda ya taifa letu, huku wananchi wa kawaida tukiteseka. Kila kitu ni kwa wanaCcm vigogo ambao wanakula keki ya taifa kama mali yao.

Ili kukabiliana na huu uonevu wa Ccm tunakiwa kama watanzania kufanya mapinduzi ndani ya mioyo yetu na kuikataa Ccm. Mapinduzi sio kushika bunduki na kuondoa madhalimu bali ni kubadilika na kuwakataa kwa kila namna.

Hiyo keki ya taifa inapikwa na Mama samia???
 
Hiyo keki bado kuna watakao kula Ice, wengine Ngano na wengine zile chengachenga za mabaki
 
Hahaha, tahira mkubwa, unaandika upuuzi wako hapa unataka kila mtu akusapoti? Unadhani mapinduzi ni jambo rahisi tu? Mara tunamtaka Rais dikteta, akaja Magu, matusi kila siku, Kaja Samia naye mnamtukana, now mnataka jeshi, nyie jamaa ni wapumbavu sana
wewe hebu tuliza kichwa kwanza. Mapinduzi yanayosemwa hapa ni kuwa everyman should be responsible for their well-being I mean they should make choices and be responsible for whatever choice is made
 
wewe hebu tuliza kichwa kwanza. Mapinduzi yanayosemwa hapa ni kuwa everyman should be responsible for their well being I mean they should make choices and be responsible for whatever choice is made
Hakuna haja ya kuwa na serikali kama kila mtu ajiamulie tu upuuzi wake unaomjia kichwani
 
Hahaha, tahira mkubwa, unaandika upuuzi wako hapa unataka kila mtu akusapoti? Unadhani mapinduzi ni jambo rahisi tu? Mara tunamtaka Rais dikteta, akaja Magu, matusi kila siku, Kaja Samia naye mnamtukana, now mnataka jeshi, nyie jamaa ni wapumbavu sana
mkuu umesoma tu heading bc. Contents haujasoma ukaja kutoa maoni. Hivi kuna sehemu mwandishi kazungumzia habari za jeshi????? Anyway ngoja nikoe nikalale

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
CCM: Sisi tunakula keki ya taifa.

CHADEMA: Na sisi tunataka keki ya taifa.

Wananchi: Kumbe kuna keki ya taifa?
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Bora mkuu tuwape hata saccos hizo awamu moja tuwapime kuliko kuwa na chama kimoja ambacho kwa sasa hata halieleweki ndio kimepoteana kabisa ifike mahari wakae benchi kidogo

Ccm nayo ni saccos tu tatizo ni kwamba mwenye saccoss yake alishatangulia mbele ya haki na waliobaki wamekula faida saiz wanakula mtaji
 
Mleta mada ni Sukuma Gang Yatima hadeki,wakati ule wa Kayafa Mwendazake alikuwa anasifia kila kitu cha kijinga.
 
Hakuna haja ya kuwa na serikali kama kila mtu ajiamulie tu upuuzi wake unaomjia kichwani
Jesus Christ! sijasema hivo lakini kwahiyo wewe unachotaka kusema ni kwamba serikali huwa inadecide ata rangi ya chupi yako sio?

Hey! try to behave man ni hivi sisemi udictate what those called gvt officials do nachosema ni kuwa wewe binafsi mapinduzi yaanzie kwako remember this A citizen is real while the gvt is not I guess you understand. Don't you?
 
Tukipata viongozi wenye maono kila mtu ata enjoy, Lakini tukiendelea na hawa wanasiasa maneno mengi - hatutofika mbali
 
Jesus Christ! sijasema hivo lakini kwahiyo wewe unachotaka kusema ni kwamba serikali huwa inadecide ata rangi ya chupi yako sio?

Hey! try to behave man ni hivi sisemi udictate what those called gvt officials do nachosema ni kuwa wewe binafsi mapinduzi yaanzie kwako remember this A citizen is real while the gvt is not I guess you understand. Don't you?
Government has to be there, then wananchi tubehave, kwa akili tu ya kawaida Samia ni mbaya kiasi hicho mnapotray hapa?
 
mkuu umesoma tu heading bc. Contents haujasoma ukaja kutoa maoni. Hivi kuna sehemu mwandishi kazungumzia habari za jeshi????? Anyway ngoja nikoe nikalale

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Hahaha, sawa Mkuu, sometimes hawa wapinga Samia wanakera sana, hawana hata sababu ya msingi, wengi wao mfumo dume unawaendesha
 
Back
Top Bottom