Hili suala Pascal Mayalla aliwahi kumuuliza mwendazake.Hayo unayasema wewe. Katiba ni sheria kuu ya nchi. Hakuna aliye juu ya katiba.
Akajibiwa kuwa kuna muhimili umejichimbia chini zaidi ndio unakusanya kodi na kusimamia matumizi yake.
Haiwezekani kodi ikusanywe,wabunge walipwe mamilioni ya wananchi halafu waende bungeni kuzungumza umbeya wa mitandaoni usiokuwa na uthibitisho wowote na kuacha kujadili bajeti ya nchi!Never!
Uhuru wanao "but not to that extent!(in magufuli's voice!)😊