Rais Samia ni lini mtalipa malimbikizo ya mishahara ( Salary arrears)...??

Mnawaza mishahara tu, watu huko vijijini hawana maji hawana vituo vya afya.
Nashauri msilipwe mpaka nchi nzima wananchi wapate maji Safi na vituo vya afya
Wewe hujui effect za kiuchumi mama akiongeza hela...uchumi lazima uwe stimulated...sio kuongeza mikopo afu mnakuja ku raise tax kwenye bidhaa muhimu
Mnatupa shida! Hongera mleta uzi
 
May mosi 2021 Rais alidai atalipa Bilioni 60 kwa ajili ya malimbikizo ya mishahara, ! Cha ajabu mpaka sasa hivi ni miezi mitatu tangu bajeti mpya hayo malimbikizo ya mishahara bado hayajalipwa.

Kama mmelipana nyinyi tu juu kwa juu basi Watanzania tungependa kujua. Na kama bado hamjalipa Salary arrears mpaka Leo mtuambie mtalipa lini ??

CHUKUENI HATA PESA ZA TOZO MTULIPE MALIMBIKIZO YETU BANA, VIHELA VYENYEWE VYA MBOGA TU BADO DANA DANA KIBAO.

SIKU NYINGINE KAENI KIMYA MKITELEKEZA NDIO MUONGEE.... INAKERA SANA WALLAH...
Sio Waziri wa fedha alijinasibu atamwaga ma bilioni ya pesa mtaani kwa kulipa madeni watumishi!
Hapo sikumuelewa alimaanisha wastaafu au walio ktk utumishi?!

Lakini mbona vilio kila konaa?!
 
Mnawaza mishahara tu, watu huko vijijini hawana maji hawana vituo vya afya.
Nashauri msilipwe mpaka nchi nzima wananchi wapate maji Safi na vituo vya afya
Hayo maji safi si hupelekwa na hao wafanyajazi wenye mishahara kiduchu!

Wengine hadi wanawehuka na kufuma watu mishono kisa hajaliowa elfu 10!

Sasa sijaelewa hiyo elfu kumi alikuwa anaipigania ni ya kwake au ya serikali?!
 
May mosi 2021 Rais alidai atalipa Bilioni 60 kwa ajili ya malimbikizo ya mishahara, ! Cha ajabu mpaka sasa hivi ni miezi mitatu tangu bajeti mpya hayo malimbikizo ya mishahara bado hayajalipwa.

Kama mmelipana nyinyi tu juu kwa juu basi Watanzania tungependa kujua. Na kama bado hamjalipa Salary arrears mpaka Leo mtuambie mtalipa lini ??

CHUKUENI HATA PESA ZA TOZO MTULIPE MALIMBIKIZO YETU BANA, VIHELA VYENYEWE VYA MBOGA TU BADO DANA DANA KIBAO.

SIKU NYINGINE KAENI KIMYA MKITELEKEZA NDIO MUONGEE.... INAKERA SANA WALLAH...
KWA kweli huenda wanalipana wenyewe kwa wenyewe
 
Mkamdai aliye limbikiza
 
Vyote ulivyovitaja vinahitaji rasilimali watu ili kuviendesha na kuhudumia watu. Sasa kama mtoa hizo huduma (mfanyakazi) halipwi au kapunjwa mshahara atatoaje hizo huduma?

Dah hii hoja kali sana sidhani kama ataweza kuipangua nadhani alijua shughuli zote hizo zinafanywa na marobot hakuelewa kwamba zote zinaratibiwa na kuendeshwa na watu ambao ni waajiriwa wa serkali ambao wanaidai serikali malimbikizo yakutosha ya stahiki zao na kwa muda mrefu.
 
Yaani sijalipwa mpk Leo!nawalaaani hawa viongozi kama kesho kuna moto kwa Mungu wachomwe mpk baasi na siwasamehi ng'odo kwa dhulma wanazofanya siye tunaishi kwa shida wao wanapewa kila kitu mpk mafuta ya kwa mahawara zao!
Siwapendi haswaaaa!yana roho mbaya

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
May mosi 2021 Rais alidai atalipa Bilioni 60 kwa ajili ya malimbikizo ya mishahara, ! Cha ajabu mpaka sasa hivi ni miezi mitatu tangu bajeti mpya hayo malimbikizo ya mishahara bado hayajalipwa.

Kama mmelipana nyinyi tu juu kwa juu basi Watanzania tungependa kujua. Na kama bado hamjalipa Salary arrears mpaka Leo mtuambie mtalipa lini ??

CHUKUENI HATA PESA ZA TOZO MTULIPE MALIMBIKIZO YETU BANA, VIHELA VYENYEWE VYA MBOGA TU BADO DANA DANA KIBAO.

SIKU NYINGINE KAENI KIMYA MKITELEKEZA NDIO MUONGEE.... INAKERA SANA WALLAH...
Mmmm hakuna bajeti vyanzo vyote vimejifia huko nchi shaghala bagala....wanategemea tozo tu ....nchi imejifia 2T zimekopwa ndani miezi 4
 
Sio Waziri wa fedha alijinasibu atamwaga ma bilioni ya pesa mtaani kwa kulipa madeni watumishi!
Hapo sikumuelewa alimaanisha wastaafu au walio ktk utumishi?!

Lakini mbona vilio kila konaa?!
Mkuu alisema wata boost uchumi kwa kulipa madeni yote ikiwemo Salary arrears, cha ajabu mpaka leo, sisi kwenye wilaya yetu tumejaza form za salary arrears tangu 18.03.2021 mpaka leo kimya tuu.
 
Learn to lower your expectations on every matter you wont be disappointed
 
Mnawaza mishahara tu, watu huko vijijini hawana maji hawana vituo vya afya.
Nashauri msilipwe mpaka nchi nzima wananchi wapate maji Safi na vituo vya afya
Hay ni mawazo mufilisi.Endelea kuota,kila mtu ana haki zake ,haki zako zisiathir zake za mwenzako.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom