Kwanini wanawake wengi wa kizazi cha sasa hawaolewi?

Wala sio strong point,ni kwamba, wanawake siku hizi,ni wajuaji sana,na hizi seminar zenu na elimu mnayopata ndiyo vinawapa kiburi! Mnatukoromea,wakati mwanaume hizo mambo hazipo,mnataka 50 kwa 50 kwenye maamuzi,but when comes to responsibility,nasimama alone! That why tunakufa mapema!
Wanyakiusa wanafaa sana kuoa
 
Tunapoelekea ni kubaya zaidi tunatoka kwenye Bad tunaelekea kwenye Worse.
 
Points ni zile zile

1.Hawaolewi kwasababu wanaume hawataki majukumu ya ndoa
2.Uhaba wa wanaume huku jinsia ya kiume na wavulana kuwa nyingi
3.Kujirahisisha na uhuni wa wanawake ambao unapelekea kuogopesha waowaji
4.Uhuni wa wanaume unaopelekea kupenda kuchovya chovya kuliko kuamua kutulia na ndoa

5.Kutishana,waliopo ndoani wanatisha sana ambao bado hawajaingia ndoani...usaliti

Nimesahau udomo zege....teh!
No 2 ungedadavua vema dea,
 
Back
Top Bottom