Recent content by Tram Almasi

  1. Tram Almasi

    JamiiForums Tanzania Unamkumbuka Coolio wa Gangsters Paradise (selfie with a fan)

    mara ya mwisho nilisikia akiwa anatoka jela on drug charges. Na baada ya hapo ikaelezwa kwamba amefilisika(officially). Inatia huruma. Drugs ndio shida.
  2. Tram Almasi

    JamiiForums Tanzania Tecno sasa inapokea Updates

    Aisee,hilo ni fundisho tosha. Asante
  3. Tram Almasi

    JamiiForums Tanzania Tecno sasa inapokea Updates

    Mkuu Chief Mkwawa, asante kwa updates zako. Mimi natumia simu ya Micromax Canvas Gold A300,tatizo ninalopata ni kwamba,muda wote inaniambia memory is full na siwezi ku-download any apps, wakati ina 25GB internal memory. Sijui Unawezaje kuunganisha RAM na hyo 25GB ili niweze kudownload more apps.
  4. Tram Almasi

    JamiiForums Tanzania Je, kuna madhara yoyote kumfanyia squirting mjamzito?

    Hahaha, ni majanga Mkuu!
  5. Tram Almasi

    JamiiForums Tanzania Kwa ubabe huu ni hatari!

    Ni Frustrations na msongo wa mawazo, athari zake sio ubabe na lugha za kuudhi tu,hata usababishaji wa Ajali ambazo zingeweza kuepukika!
  6. Tram Almasi

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Sijui kama Mtaalam wetu Kichwa Mbovu ana source nyengine, najua kuna watu wanauza Mbezi kwa Musuguri.
  7. Tram Almasi

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Mkuu, asante sana kwa elimu uliyotoa. Nimejifunza mengi maana mm tayari nafuga kuku aina ya chotara,vifaranga kutoka Malawi.
  8. Tram Almasi

    JamiiForums Tanzania Phillip Mulugo ajibu tuhuma za kuchakachua

    Viongozi wetu wamezoea urasimu kwa hyo hata kujibu 'ndiyo' au 'hapana' inahitaji urasimu? Kaazi kwelikweli.
  9. Tram Almasi

    JamiiForums Tanzania Raila Odinga atua Dar es salaam kumtembelea Magufuli kwa kificho kikali

    Sure, a private visit remains to be private.
  10. Tram Almasi

    JamiiForums Tanzania Degree ya SUA pesa yako tu

  11. Tram Almasi

    JamiiForums Tanzania Mwanamke uwe na sura nzuri na uumbike kwa uwiano mengine yote juhudi yako

    Well, sehemu nyengine hiyo statement yako co applicable. Sura na kila ki2 vyaeza kuwa plain,lakn 'ile mambo' anaongoza mia kwa mia.
  12. Tram Almasi

    JamiiForums Tanzania "Nitakuona Bonge la Mwanamme......"

    Boflo, na ww unakubali kwamba; Bonge la M'me = Tshs 30,000?
  13. Tram Almasi

    JamiiForums Tanzania Mashirika Ya Ndege yakataa Kumchukua- Ana 407 Kg

    Much as i know, any airline can make travel arrangements for any passanger regardless of one's condition. That is why they have arrangements for even paralized/bed ridden patients.
  14. Tram Almasi

    JamiiForums Tanzania Samaki asiyegeuzwa...

    Boflo kama ilivyo katika mapishi,ladha huendana na aina ya mapishi. So sie wengine utamu wa samaki shurti ageuzwe. Huyo wa kuchuchumia km ivo hanogi yakhe.
Back
Top Bottom