Mashirika Ya Ndege yakataa Kumchukua- Ana 407 Kg

Mashirika Ya Ndege yakataa Kumchukua- Ana 407 Kg

kwenye ndege inapo tua na inapo luka ni lazima Pasenger afunge mkanda je huo mwili Mkanda unatosha??? je anaenea kwenye kiti 1 ?? sasa je kwa usalama wake ingekua haki kamchuka Abiria kwa safindefu haina hiyo bila kufunga mkanda ??huoni kulikua na tatizo la msingi hapo ??? tusione kaonewa hunda angifi ndani ya ndege je ingekuwaje nani angemlipa mwenzie hapo ??? tungoje utetezi wa mashilika ya ndege utakuwajee????

Huwa kwenye ndege kuna extension belts hilo lisingekuwa tatizo!!
Labda afya yake haikurusu kupanda normal schedule flight,wangemchukulia private jet asafiri na doctors mpaka huko alikokuwa anaenda!!!
 
kwenye ndege inapo tua na inapo luka ni lazima Pasenger afunge mkanda je huo mwili Mkanda unatosha??? je anaenea kwenye kiti 1 ?? sasa je kwa usalama wake ingekua haki kamchuka Abiria kwa safindefu haina hiyo bila kufunga mkanda ??huoni kulikua na tatizo la msingi hapo ??? tusione kaonewa hunda angifi ndani ya ndege je ingekuwaje nani angemlipa mwenzie hapo ??? tungoje utetezi wa mashilika ya ndege utakuwajee????
Tunaposema hawajamtendea haki ni kwa kuwa walimkataa kwa sababu ya unene wakike na sio kwa kuwa alikuwa amezidiwa...
 
Alifikaje Uwanja wa Ndege? Walimbeba kwenye magari ya jeshi?

hilo swali Baba Enock umeandika mwenyewe au umeandikiwa ??? mbona halina Mashiko kwenye Gari yeyote anakaa kwenye Sit ya nyuma na anaingia ninyumenyume theni akiwa ndani ananyoosha Miguu yake anaangali Dilisha la gali sio Mbele na wahainihiyo hawakai nyumba ya Gholofa wanaishi nyumba ya kawaida chini ...wapo wengi tu kule JAPAN kuna yule mcheza Sumo laia wa HAWAHII yey ana sit sake 2in one .......popote
 
Hivi angetosha hata mlangoni kweli??
Afu upande ambao angekaa si ndege ingelalia huko?

RIP Mrs Soltez
 
RIP mama jibonge Mungu akuweke mahala Pema Peponi
 
Much as i know, any airline can make travel arrangements for any passanger regardless of one's condition. That is why they have arrangements for even paralized/bed ridden patients.
 
Embu kwanza tuweke records sawa. Huyo mama alikuwa na uzito wa pound 407 na siyo kilo 407. 1kg= 2.2pounds. Kwa hiyo basi huyo mama (RIP) alikuwa na kilo 185. Baada ya kusoma hiyo story yake, huyo mama pamoja na kuwa na huo uzito pia alikuwa na ulemavu wa mguu mmoja. Mi naamini uzito wake, ulemavu wake pamoja na ugonjwa alokuwa nao ulifanya upatikanaji wa usafiri wa ndege wa haraka ushindikane.
 
Dah...jamaa sijui alikuwa anamtafuna kwa staili ipi mke wake! Sipati picha hiyo shugli...
 
Kumkatalia ni sawa, maana kwa uzito wake lolote lingeweza tokea ndani ya ndege.
 
Nijuavyo mimi huyo mama inawezekana hakukataliwa (kimsingi), ila inawezekana pia aliambiwa kutokana na ukubwa wa umbo lake ni lazima apande daraja la kwanza (First Class) au Business Class. Asingeweza kutosha kwenye viti vya ndege vya Economy class. Kwa mantiki hiyo kama hakuwa na pesa za kutosha kukata ticket ya madaraja hayo sitashangaa kama hawakumchukua.

Natoa pole kwa familia, lakini tusilaumu mashirika ya ndege kwa kuwa yanaendeshwa na sheria zake. Kiusalama isingewezekana, kwake mwenyewe na kwa abiria wengine pia!
ndio maana kisheria kuna latin maxim inasema volente non fit injuria yaani amechangia kifo chake kwa kuachia umbo lake kuwa kubwa kiasi hicho hata daktari wake atatoa ushahidi wa kumtaka apunguze mwili kinyume na hapo atakuwa daktari mjinga kiliko wote kushindwa kumueleza mteja wake madhara ya umbo kubwa kiasi hicho
 
Duuuuuuuu!!!!!!!!!!! huyu angeangusha ndege
 
Back
Top Bottom