Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,321
- 108,379
Hivi Madame X unakuwaga wapi??
Huwa uko kama jeshi la mtu mmoja
Umemshtukia eenh
Hivi Madame X unakuwaga wapi??
Huwa uko kama jeshi la mtu mmoja
Hivi Madame X unakuwaga wapi??
Huwa uko kama jeshi la mtu mmoja
twende basi leo Kawe Club tukale samaki na ndizi mzuzu..........
Na usipogeuza kibao inabidi uhame kiti! Lol!
ahahahahhahhahahha yani nimewaza mtu anahama kiti ili ale samaki!anatoka upande huu na hamia upande huu ahahhahahahhaha mtoto una akili mbovu wewe kah!
Mie namgeuza bila wasiwasiIli kuondoa dhana ya kusema sharti umgeuze, unamlia hapohapo kwa kumnyofoa nyofoa
View attachment 72977View attachment 72978
Picha hizi zimekujia kwa hisani ya Bofloooooo