kila mtu ana haki na anapaswa kuwa na elimu ya kitu anachofanya. mimi natengeneza awareness tu hapa uamuzi wa kununua ni wako na utaendelea kuwa wako milele.
wangapi wamenunua tecno C5 japo tumewaonya haitakubali 4g na still wakanunua na still wakafungua thread sa msaada kwaninia simu zao hazikubali 4g?
chip kwenye simu ni muhimu sana tena sana haishii kwenye processor na gpu tu kuna mambo kama.
1. modem- hapa utapata mambo kama 3g na 4g na speed na hata ukipiga simu kama zinakata kata sometime soc kimeo huweza sababisha
2. camera mechanism na alogarithm zinaendeshwa na soc hivyo unaweza kuwa na camera yenye hardware nzuri ila soc ikawa kimeo mwisho wa siku ukapata experience mbaya mf lumia 1020.
3. malware- angalia simu za mediatek zinavyoathirika sana na malware, sisemi snapdragon haziathiriki ila soc mpya za sd zote zinafight malware kuanzia hardware level ndo mana thread za tecno haziishi humu.
4. lag za simu- ndio huchezi games ila una user interface, ios zipo smooth sababu siku zote iphone zina gpu kubwa. smu ikiwa na gpu kimeo hata launcher kuihandle ni matatizo.
4. ukaaji wa chaji- mediatek siku zote inakunywa chaji sana na zipo pia soc za sd zinakunywa chaji sana ila zipo soc za sd ni energy efficient kama sd 800/801 unakuta simu zina vibattery vidogo kama 2600mah then zinazishinda simu za mediatek zenye 4000mah.
kuna mambo mengi sana ila huwezi kuyaandika kwenye comment kama hivi nikipata time nitaanzisha thread kabisa
band gani? hakuna aliekataa haina 4g ila hizo band zake ni useless kwetu. unatumia c5 na mtandao gani? tuekee na screenshotNadhani hapo kwenye 4g unapotosha watu...mie natumia techno C5 na inashika 4g kama kawaida...
Kenya zipo sana kuna hawa jamaa wanajiita AVECH wana aina nyingi sana za simu pamoja na hizo HOME - Avechi Kenyakuna jamaa anaziuza humu jukwaani 350,000 anaitwa deogan
Xiaomi Redmi 2 prime | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
ila soon wataanza kuuza simu kenya officially so zitadrop price
Wana blog tu...tena nayo haina location wala address yao
Pole mkuu ila mm binafsi sijawahi kutumia tecno, nina kasamsung kangu laki 2 na nusu lakini kazuri kuliko hiyo tecno yako la laki 3Ila saizi naanza kuungana Chief-Mkwawa haya ma tecno ni kalaa, yan hili li C8 bomu kabisa, nikienda kwenye contacts, inanambia no contacts, unakaa hadi dakika ndio ina view contacts, hivyo ivyo kwa call logs, yan unaweza kuwa unataka kumpigia mtu simu ya haraka, au umeona missed call nataka kuijibu aisee unaweza bonda lisimu chini.
Yan hata mtu akipiga inaweza leta namba bila jina mpk kumbukumbu ziirudie utakuwa ushapokea nakumuuliza mtu naongea na nani. Aisee ni tabu laki 3 imeungua.
Hii ni tecno ya mwisho, sasa basi tena. Ctaki
Je mimi hii samsung yangu naweza kuiupdate?@Chief-Mkwawa sorry natumia sumsung Grand prime ina android version 4.4.4 Kitkat but nataka kuiupdate iende kwenye lollipop ila sijui jinsi ya ku update, naomba unielekeze Jinsi ya ku update kama hutojari.
band gani? hakuna aliekataa haina 4g ila hizo band zake ni useless kwetu. unatumia c5 na mtandao gani? tuekee na screenshot
unaweza kudownload lte discovery au signal check toka playstore? halafu unitumie screenshot upo band ganiAttachment nyingine hii hapa
seems upo sahihi, unatumia 4g lakini kwenye suala la band bado nipo gizani na hata lte discovery inaonesha band ni unknown.Simtaalamu wa haya mambo lakini nimejaribu
Chief Mkwawa Mwenyezi Mungu Inshaallah akupe maisha marefu na akuongezee uvumilivu katika jukwaa hili utusaidie na upata nguvu za ku deal na wazushi bila kuchoka!Mi sijaisikia hio android 5.2, maana google hajaitoa, ilivyotoka 5.1 moja kwa moja watu wakaenda android M (marshamallow) aka android 6.
Muanzisha nada hebu tuambie hio android 5.2 ipoje?
Na update ya h na h+ hio Ni gimmick sababu kinachosuport aina Fulani ya network Ni modem ya simu (hardware) hivyo kusema umepata update ikaongeza h inatia mashaka
Na kufix hizo bugs imefix nini?
Kampuni isio na ofisi anaetuma hizo update Ni nani?
Aisee,hilo ni fundisho tosha. AsanteUkiona simu haitumiki na haiuzwi europe basi fikiria tena..
Mkuu Chief Mkwawa, asante kwa updates zako. Mimi natumia simu ya Micromax Canvas Gold A300,tatizo ninalopata ni kwamba,muda wote inaniambia memory is full na siwezi ku-download any apps, wakati ina 25GB internal memory. Sijui Unawezaje kuunganisha RAM na hyo 25GB ili niweze kudownload more apps.