Unamkumbuka Coolio wa Gangsters Paradise (selfie with a fan)

Salamander

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
28,537
15,745
4799527d79dc3a51ad52d68f79495c58
 
Kuna kipindi nilikuwa naifuatilia Fear factor Coolio nae alikuwemo na yeye kwenye kinyang'anyiro cha kugombania Dola 50,000 za kimarekani, ndio ilikuwa mara yangu ya mwisho kumuona, hakuwa amezeeka kama hivi.

Sasa hivi ameshazeeka
 
Kuna sehemu nilisoma wanasema eti anacheza porn movie siku hizi. Habari kubwa hizi
 
Kuna sehemu nilisoma wanasema eti anacheza porn movie siku hizi. Habari kubwa hizi
Kama ni habari za kweli, Coolio amepoteza.

Inaogopesha na inastaajabisha!

Ngoja tuendelee kumkumbuka bila ya kukisahau kibao chake it's all the way live ambacho kilibamba sana, nakidondoshea hapo chini
 
mara ya mwisho nilisikia akiwa anatoka jela on drug charges. Na baada ya hapo ikaelezwa kwamba amefilisika(officially). Inatia huruma. Drugs ndio shida.
 
Back
Top Bottom