Recent content by Trainee

  1. Trainee

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya maafisa wa serikali wanadhulumu sana watu kwa kigezo cha "kutekeleza majukumu ya kikazi"

    Dah, sawa Inabidi nikubali tu maana sina elimu nalo hilo jambo lakini watu wanaumia sana
  2. Trainee

    JamiiForums Tanzania Hii nchi kuna mambo wewe unajua yamebaki stori lakini kumbe kuna maeneo ukienda unakuta watu wanayaishi bado!

    Mtandao na internet Kuna maeneo Bado watu wanajitega kwa ajili ya kupiga simu na kuingia internet Tigo na kujimwambafai kote Kuna maeneo Bado ni bilabila Barabara na uchukuzi Kuna maeneo Tanzania hii hii kipindi cha mvua wanakata muingiliano/mawasiliano ya kutoka na kuingia mpaka mvua...
  3. Trainee

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya maafisa wa serikali wanadhulumu sana watu kwa kigezo cha "kutekeleza majukumu ya kikazi"

    Nianze na tukio lililotokea juzi na likanihuzunisha mno. Watu wa maliasili wamepita barabara ya Nangurukuru-Liwale wakakusanya na kuchukua mkaa wa walalahoi wote wanaouza mkaa barabarani, wengi ni wanawake walioporwa mkaa wao aisee wamelalamika mno! Tukibaki na maliasili haohao, mtu akikutwa...
  4. Trainee

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli watu wenye miguu isiyo na uvungu wanakataliwa jeshini? Kama ni kweli zipi sababu?

    Jeshini kuna vigezo vya ovyo sana Wacheza Kung Fu/kareti wengi tu wana miguu ya namna hiyo na wala siyo nongwa. Haya na watuambie wajeda huko jeshini na kwenye madojo tofauti ni nini katika swala la foot Halafu siyo jeshini pekee ni sehemu nyingi tu kuna ujinga ujinga. Vitu vingine ni vya...
  5. Trainee

    JamiiForums Tanzania Namtafuta ndugu yangu humu ndani, namba yake haipatikani toka 2022

    Mkimkosa nendeni polisi mwanza
  6. Trainee

    JamiiForums Tanzania Watu 10 maarufu zaidi kuwahi kutokea duniani

    Ni uchizi watu wa zamani huko kwenye karne kuwaweka na hawa wa milenia Na kama ni hivyo basi maarufu wangekuwa akina Ibrahim, Mussa, Adamu, Firauni, Yesu, Muhammad na ukiongeza na wa sasa ni kina trump, netanyahu, rais wa iran, mimi nk
  7. Trainee

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa "minara" kwenye magari ya abiria kusini unawakwaza wateja/wasafiri, mamlaka ondoeni hii adha

    Kina huu utaratibu nimeuona kwenye magari ya huku kusini sijui kwingine nako ni hivyo hivyo au la!? Yaani siku hizi gari ina vituo bubu (visivyo rasmi) njiani. Hatukatai vituo hivyo lakini kinachokera ni kwamba vituo hivyo vinamcontrol kila mtu anayehusika na gari kiasi kwamba nyinyi abiria...
  8. Trainee

    JamiiForums Tanzania Hii ni aina gani ya kuku??

    JOGOO wa PAZI huyo angalia asije akakubeba na wewe Kama wewe mhenga umenielewa
  9. Trainee

    JamiiForums Tanzania Kama unampenda mama like

    Bahati mbaya mama yako hawezi kuona haya maandishi yako kamwe
  10. Trainee

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wanafunzi wa UDSM tuliingiziwa Boom mara 2 kimakosa, kutudai wanatuletea TAKUKURU kutukamata, kwani hayo ni makosa yetu?

    Sipati picha ndo ningekuwa mmoja wa walioingiziwa hizo fedha Nina kaugonjwa hela ikinijia kimakosa siiachi Ningetesekaje..!?
  11. Trainee

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu huogopa? Hasa kufa kwa nini?

    Kwa sababu kuna MwenyeziMungu Na hiyo ni dalili tosha miongoni mwa dalili kuwa kunaye mungu muweza wa yote (Wanaosoma elimu ya dini ya kiislamu wanaelewa sana)
  12. Trainee

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Gridi ya Taifa yapata hitilafu. Umeme wakatika nchi nzima - Juni 27, 2026

    Tuna umeme wa Tanesco lakini siyo gridi Hivi unajua kwamba kwa mkoa wa Lindi gridi ipo Kilwa tu tena ni kwa baadhi ya maeneo (Lindi MC sina uhakika sana)
Back
Top Bottom