Hawa members maarufu JF wamepotelea wapi?

Hawa members maarufu JF wamepotelea wapi?

Zamani kidogo kabla sijajiunga jamiiforums nilikua natembelea sana jukwaa hili sasa kuna baadhi ya memba kadhaa niliokua nasoma comment zao lkn sasa siwaoni miongoni mwao ni
mkwepu jr
huyu jamaa watu walimuanzishiaga uz kisa? ana like kila uz
Mgonga Like huyu jamaa pia alishindanishagwa na mkwepu jr hv hawa memba wamepotelea api?
Wanakuja
 
Zamani kidogo kabla sijajiunga JamiiForums nilikua natembelea sana jukwaa hili sasa kuna baadhi ya memba kadhaa niliokua nasoma comment zao lakini sasa siwaoni miongoni mwao ni
mkwepu jr

Huyu jamaa watu walimuanzishiaga uz kisa? ana like kila uz
Mgonga Like huyu jamaa pia alishindanishagwa na mkwepu jr hv hawa memba wamepotelea api?
Mkwepu jr, alitembelewa oktaba 29 2025
 
Mara fulani unaamua kuwa busy na mambo yako....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom