TANESCO: Gridi ya Taifa yapata hitilafu. Umeme wakatika nchi nzima - Juni 27, 2026

TANESCO: Gridi ya Taifa yapata hitilafu. Umeme wakatika nchi nzima - Juni 27, 2026

Labda majaribio ya July 7, umeme unakatikaje nchi nzima? Kwani source na njia ni moja tu? Yani hitilafu itokee Dar au Moshi au Mwanza ndio umeme ukatike hadi Mtwara na Rukwa na Dodoma? Sayansi za masisiemu bana
Mkuu kuna mtu yuko huko Rukwa kaniambia wao umeme upo kwani bado hawajaungwa grid ya Taifa.
 
Back
Top Bottom