KERO Responded Wanafunzi wa UDSM tuliingiziwa Boom mara 2 kimakosa, kutudai wanatuletea TAKUKURU kutukamata, kwani hayo ni makosa yetu?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mitandao ya simu hua inazichukua na kama ukiitumia siku isokua na jina ukiweka tu pesa wanaibeba juu kwa juu je utaenda kuwashtaki wakati kuna pesa iliingizwa kimakosa na hukuirejesha.
Mtandao gani?

Ukishaitumia hawana ubavu wa kuanza kukwapua hela zako bila kuwa na makubaliano yoyote.
 
Nazungumza hapa nikiwa ni mmoja wa wanaofuatilia suala hili na ninaomba mamlaka husika zilichunguze kwa kina, baadhi ya wanafunzi wa University of Dar es Salaam (UDSM) tuliingiziwa fedha za mkopo (boom) mara mbili kimakosa kutoka Bodi ya Mikopo (Higher Education Students' Loans Board - HESLB).

Kwa maelezo yanayotolewa, baadhi ya wanafunzi walitoa na kutumia fedha hizo kabla ya kubaini kuwa ziliingizwa kimakosa. Baada ya kosa hilo kugundulika, wahusika walifuatiliwa na kubainishwa.

Hata hivyo, malalamiko makubwa si kuhusu kurejesha fedha, bali ni namna ambayo baadhi ya wanafunzi wanadai wamekuwa wakifuatiliwa. Inadaiwa kuwa mchakato huo, unaohusisha TAKUKURU, umekuwa ukiambatana na vitendo vinavyodaiwa kuwa vya manyanyaso, ikiwemo kuwashikilia baadhi yao mahabusu (lockup) bila kufuata taratibu zinazostahili au kuwapa taarifa za kutosha kuhusu kituo wanachopelekwa.

Tunaomba mamlaka husika kuchunguza kwa kina namna zoezi hilo linavyotekelezwa ili kuhakikisha haki zETU wanafunzi zinalindwa huku serikali ikiendelea kurejeshewa fedha zilizolipwa kimakosa kupitia taratibu za kisheria na zinazozingatia utu wa kila mwananchi.

Pia tunaomba taasisi zinazohusika zitoe ufafanuzi kuhusu suala hili ili kuondoa sintofahamu na kuhakikisha hatua zinazochukuliwa zinazingatia sheria, haki na misingi ya utawala bora.
Hiyo huwa inatokea sana ,hata mwaka 2005 watu waliingiziwa Boom mara mbili lakini hakuna "TAKOKURU" waliokamata mtu.
 
Hahaha! Komenti nyingine zinachekesha kweli. Eti wanafunzi wanatakiwa kuwa waadilifu kama vile tunawafundisha uadilifu kwa maneno na vitendo! Tukubaliane tu, nchi yetu uadilifu umeporomoka sana katika suala la kuthamini mali za umma, hivyo msiwalaumu sana hao wanafunzi.

Hivi kweli tunataka kusema kwa kizazi tulichonacho cha vijana pesa inaweza kuingia kwenye akaunti wakaitolea taarifa kirahisi rahisi katika maisha ya chuo? Tunaongea kama vile sisi wazee ni waadilifu sanaaa! Hivi hapo ulipo kwa maisha ya leo ukiingiziwa muamala hata wa elfu 10 kimakosa wangapi wataurudisha kwa mwenyewe bila usumbufu?

Hoja niliyoielewa kwa mtoa mada ni kunyanyaswa mpaka kuathirika kisaikolojia katika masomo yao na siyo kwamba hakuna namna ya kuzirudisha hizo pesa. Kwa mfano, kama ni wanafunzi wanaoendelea na masomo basi hawatapewa boom lijalo na kama ni wa mwaka wa mwisho basi warudishe. Hapo TAKUKURU wanawasumbua ili kubaini kama kulikuwa na makosa ya kibinadami au wafanyakazi wahusika walidhamiria kuiba hizo peaa kupitia wanafunzi

Back
Top Bottom