Hii ni aina gani ya kuku??

Hii ni aina gani ya kuku??

Mfupa wake ni ngumu kama wa mbuzi kuuvunja lazima upige panga
Brahma chicken kutoka Colombia
Screenshot_20260707_073109.jpg
 
Leo nimepita maeneo flani hapa dar nikaona kuku ambao sijawaelewa.

Paja lake tuu wanauza 15,000
Hilo paja ni nene sana Lina nyama nyingi uzito ni zaidi ya kg1

Shingo yake ni ndefu sana halafu nene mno.

Hii ni mbegu aina gan ya kuku?

Mfupa wake ni ngumu kama wa mbuzi kuuvunja lazima upige panga
Ndege john huyo a. K. A bwana afya
 
JOGOO wa PAZI huyo angalia asije akakubeba na wewe
Kama wewe mhenga umenielewa
 
Back
Top Bottom