Recent content by Top gear

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Sukari cha Tajiri wa Simba, Mo Sugar, kipo wapi?

    Si mchezo
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wengi huangalia bei ya gari na kusahau gharama za Interior, Tairi na Rim. Tenga bajeti ya ziada mapema ili usije ukahangaika baada ya kununua gari

    Naongelea imported cars,mimi sio mpnz wa mziki mkubwa.Gari nyingi zinakuja na mziki standards kabisa,yaani gari inakuja na mark levinson/Bose nitoe niweke takataka za mafund,Ila ndo mshazoea makelele sijui ya kuongeza speakers,amplifiers etc.Rim ije na gari nitoe niweke sijui sport...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wengi huangalia bei ya gari na kusahau gharama za Interior, Tairi na Rim. Tenga bajeti ya ziada mapema ili usije ukahangaika baada ya kununua gari

    Tyres tu ndo hua nabadilisha, tena na zenyewe nikishatumia bongo hapa kwa muda flani.Mengine hapo sio mambo yangu
  4. T

    JamiiForums Tanzania HESABU kitu cha ajabu

    Aiseee
  5. T

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri ya kula bata Singida

    Mji round about yake imepandwa michicha,matembele,kisamvu sehemu za bata utazipata wapi?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Vurugu ya middle east imekuwa kubwa sana

    Aisee
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ali express kutaka TIN yangu

    Sikua natumia DHL,nilikua natumia FED EX na last time ilikua 2017 huko.Sikujua mambo yamebadilika hivi
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ali express kutaka TIN yangu

    Sawa
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ali express kutaka TIN yangu

    Shukrani mkuu
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ali express kutaka TIN yangu

    Shukrani bro,Kwny ku import gari naona huu ni utaratibu sikujua na Kwny hivi vi_parcel vidogo nako wana demand TIN.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ali express kutaka TIN yangu

    Habari za usiku wakuu, samahani Nina shida kule Ali express.Nimeshaagiza mizigo mara kadhaa na ikafika yote.Ila Nina kama mwaka sijaagiza,juzi nikaagiza sasa ninaona Kuna kuna kitu kipya sikuwahi kukiona kabla. Kuna Hawa wanajiita MailAmericas wamenitumia msg kwny email na Whatsapp yangu...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kujiunga na Freemasonry

    Aisee
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa

    Bil 4
Back
Top Bottom