Wanaona kuliko kukaa tu bora wafanye kazi ya kuwaingizia japo vimiamia.Hv wale watu wanaosemaga maybe nafanya kazi ili hata iniingizie mia mbili mia tatu hua wana maana gani?
Ndo hizo sasa mtoa mada analalamika 😂Wanaona kuliko kukaa tu bora wafanye kazi ya kuwaingizia japo vimiamia.
Kama hataki aache tu.Ndo hizo sasa mtoa mada analalamika 😂
Naomba nafasi yake😂Ndo maana nakupenda
Mimi umeingia sh2!Habari zenu Wanabodi?
Natumai mpo vizuri,
Niingie kwa mada, Kumekuwa na hizi SMS za mitandao ya simu wakituma Kiasi cha fedha ktk akaunti ya mtumiaji wakidai ni gawio, mara nyingi binafsi huwa napata Tsh 76, na hizi Tsh 200.
SASA hoja yangu hapa, ni kuwa hii fedha haisadii kwa lolote kwangu, ukija kusikia mtandao wakinadi, utasikia wametoa gawio la 2B, sasa si Bora wakateua watu wachache kwa kuangalia hata transaction nyingi na kubwa walizofanya Kisha wakawapa hata kuanzia 1M nakuendelea kuliko kututmia Sisi hiki Kiasi kidogo. Au kwamba wakituma Kiasi kidogo ndo hawakatwi Kodi kuliko Kiasi kikubwa.
Nawasilisha
Mkuu mbona unasomeka kama"Banned"!Haya, nimemsamehe kwa kuwa wewe umesema.
Ongeza ongeza kuweka akiba mkuu ili siku nyingine uzipate gawio la simbilisi.Asubuhi leo nimekutana na gawio la sh 3
Wewe sio yule anaesema hapendi wanawake?Naomba nafasi yake😂
Hapan sio mimiWewe sio yule anaesema hapendi wanawake?
Basi nimekufananishaHapan sio mimi
2B gawanya kwa wateja milioni 20 ndo hio 100Habari zenu Wanabodi?
Natumai mpo vizuri,
Niingie kwa mada, Kumekuwa na hizi SMS za mitandao ya simu wakituma Kiasi cha fedha ktk akaunti ya mtumiaji wakidai ni gawio, mara nyingi binafsi huwa napata Tsh 76, na hizi Tsh 200.
SASA hoja yangu hapa, ni kuwa hii fedha haisadii kwa lolote kwangu, ukija kusikia mtandao wakinadi, utasikia wametoa gawio la 2B, sasa si Bora wakateua watu wachache kwa kuangalia hata transaction nyingi na kubwa walizofanya Kisha wakawapa hata kuanzia 1M nakuendelea kuliko kututmia Sisi hiki Kiasi kidogo. Au kwamba wakituma Kiasi kidogo ndo hawakatwi Kodi kuliko Kiasi kikubwa.
Nawasilisha
Yeah turudi kwenye pointBasi nimekufananisha