Honda crossroads

Honda crossroads

Iyo gari nilikaa nayo for almost 2 years

Kwa ushauri tu izo gari achana nazo vifaa vyake gharama sana na vinapatikana Dar tu Tz hii kwenye ishu za mafuta ipo vizuri ila changamoto ni gharama za spare parts na upatikanaji wake
Hizi gari zinamuonekano mazuri sana lakini hapa Tanzania zipo chache sana.Mwenye kujua changamoto zake aniambie nitamshukuru sana
 
Iyo gari nilikaa nayo for almost 2 years

Kwa ushauri tu izo gari achana nazo vifaa vyake gharama sana na vinapatikana Dar tu Tz hii kwenye ishu za mafuta ipo vizuri ila changamoto ni gharama za spare parts na upatikanaji wake
Habari sana,ila gari hii nimeitokea kuipenda sana
 
Labda kama siku hizi spea zinapatikana kwa urahisi. Home kumewahi kuwa na Honda CRV zile old model; ishu ilikuwa ni spea. Gari ilikuwa inapaki kisa spea.
Nakazia hapa.
Kuna Boss wangu alikuwaga nayo.

Akakaa nayo 3 yrs ikaanza kuzingua na spea hakupata kwa wakat. Na pia ni gharama zikopatikana.

Kwa TZ gari ni Toyota.
Achana na brand nyingne.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom