Idimulwa
Platinum Member
- May 27, 2011
- 6,226
- 5,338
Ni ile kali- Double Kick- inaitwa.
Ni wafugaji wa Maeneo ya Nungwi.
Ni wale-Maksai kwa ajili ya kuvuta mikokoteni ya kubebea vitu mbalimbali.
Wanawanyeshwa hizo pombe ili wafanye kazi kwa nguvu eti pasipo kuchoka mapema.
Unakuta ng'ombe amelewa mpaka povu lina mtoka,amefungwa nira anavuta mkokoteni.
Watu wa haki za Wanyama fuatilieni hilo.Haya ni mateso makubwa.Double Kick kwa Ng'ombe mla nyasi Jamani!?
Bora kwa Binadamu utakula hata Supu ya Kongoro ukanywa na Maji mengi uka uhuisha mwili.
Source: Ndugu yangu anachunga Ng' ombe huko.