Kwahiyo sabato nina mamlaka nayo? Maana wakristu wanashangilia ufufuko wa YESU na sio sabato kwa sababu si wao kwa ajili ya sabato bali sabato ilifanyika kwa ajili ya wao [emoji848]
Hivi mkisha record mnaziweka wapi? Kama ni live show mpo ninyi wenyewe so mnarecord mkamuonyeshe nani?? Au ndo kumcontrol msichana utakavyo coz akigoma utatuma kombora?? Duh kazi kwelikweli
Sorry naomba kujuzwa kwa sie ambao tunahitaji kuunga bachelor but bado hatujafanya mtihani inakuaje hapo wakuu tuappl au baada ya kupata matokeo tutapata nafaasi ya kuapply?maana bado cjawa diploma holder mpaka mwezi July

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.