Deadline ya CAS- NACTE applications-2016

Wakuu hapa kuna vitu watu wanachanganya. Baada ya matokeo ya form IV kutoka nacte wanaruhusu watu kuapply kozi mbalimbali ambazo zipo ktk vyuo vilivyo chini ya nacte. Na nacte wanasimamia kuanzia ngazi ya certificate hadi diploma. Kwa hiyo hiyo deadline iliyoko kwenye web ya nacte ni kwa wale wanaoomba ngazi hizo nilizosema.

Baada ya matokeo ya form 6 TCU nayo inatoa utaratibu wa kuapply for advanced diploma na degree mbalimbali ktk vyuo vikuu.Nayo TCU watatoa deadline yao.

Pia ni vema watu wajue kwamba inawezekana chuo kimoja kikawa kinatoa elimu inayoratibiwa na both TCU na nacte. Kwa mfano,KIU au St.Francis wanatoa kozi mbalimbali;yaani degrees zinazoratibiwa na TCU na certificate na diploma zinazoratibiwa na nacte.

Hivyo basi kama unataka kuapply for degree subiri TCU watafungua baada ya matokeo ya f6 kutoka. Lakini kama unaapply for certificate na diploma, you're running out of time,ingia sasa hivi nacte,chagua kozi na vyuo vilivyo chini ya nacte vimeirodheshwa pale.

Nasisitiza tena,nacte hawahusiki na elimu ya viwango vya degree na kuendelea. TCU nao hawahusiki na elimu ya certificate na ordinary diploma.

Pengine kinachochanganya watu ni hii ya kutumia mfumo mmoja ktk kufanya application, yaani CAS,but this does not make it possible kuapply for certificate UDOM!!
 
Asante sana rafiki! Hili lilikuwa linawachanganya wengi.
 
Wengine wqnadai selection za kwenda chuo zimetoka je ni kweli kuhusu hilo
 
amepata
physics B
chemistry B
biology B+
mathematics B+
English B
civics C
history C
geography C
kiswahili C.
mwaka 2014 je anaweza kupata nasafi ya clinical officer au medical lab muhimbili au udom? je afanye application Nacte au TCU?.
 
kWA NINI ASIENDE FORM FIVE?
 
SAWA NDUGU KWA HIYO WENYE DIPLOMA WATARUHUSIWA KUOMBA TCU?
Kumbuka Diploma bado watu wapo vyuoni....lazima lutakuwa na 2nd round baada ya watu kumaliza mitihani ya mwisho.....vile vile unaweza kuapply chuo direct baadaye
 
Sijui unafanya haya kwa kutokujua au ni nini, what a BIG lie and misleading statement. Nasisitiza, hakuna MTU YEYOTE MWENYE DIPLOMA atakayeomba chuo kupitia TCU. Wote wataomba kupitia NACTE. Hiyo tarehe 31 may ni deadline ya wenye diploma wanaotaka kusoma kwenye vyuo vya ufundi vinavyotoa kozi mbalimbali ngazi ya digrii, mfano DIT, MUST na ATC.
Hapo mkuu umeeleweka vizuri kuhusu "wanaotKa kusoma vyuo vya ufundi " ngazi ya digrii" hata me sikuelewa
 
Wakuu hapa kuna vitu watu wanachanganya. Baada ya matokeo ya form IV kutoka nacte wanaruhusu watu kuapply kozi mbalimbali ambazo zipo ktk vyuo vilivyo chini ya nacte. Na nacte wanasimamia kuanzia ngazi ya certificate hadi diploma. Kwa hiyo hiyo deadline iliyoko kwenye web ya nacte ni kwa wale wanaoomba ngazi hizo nilizosema.

Baada ya matokeo ya form 6 TCU nayo inatoa utaratibu wa kuapply for advanced diploma na degree mbalimbali ktk vyuo vikuu.Nayo TCU watatoa deadline yao.

Pia ni vema watu wajue kwamba inawezekana chuo kimoja kikawa kinatoa elimu inayoratibiwa na both TCU na nacte. Kwa mfano,KIU au St.Francis wanatoa kozi mbalimbali;yaani degrees zinazoratibiwa na TCU na certificate na diploma zinazoratibiwa na nacte.

Hivyo basi kama unataka kuapply for degree subiri TCU watafungua baada ya matokeo ya f6 kutoka. Lakini kama unaapply for certificate na diploma, you're running out of time,ingia sasa hivi nacte,chagua kozi na vyuo vilivyo chini ya nacte vimeirodheshwa pale.

Nasisitiza tena,nacte hawahusiki na elimu ya viwango vya degree na kuendelea. TCU nao hawahusiki na elimu ya certificate na ordinary diploma.

Pengine kinachochanganya watu ni hii ya kutumia mfumo mmoja ktk kufanya application, yaani CAS,but this does not make it possible kuapply for certificate UDOM!!
Well said
 
Hii sio kweli
 
Latifa ukweli ni upi wasaidie watu tuelewe, we are nearing the deadline please
Wanafunz waliomaliza diploma wanaomba kupitia nacte na mwsho wa kutuma maombi ni trh 31/5 ila badae muda huongezwa kwa lengo la kuweka sawa vile vyuo ambavyo havipo ktk nacte hii ni baada ya tcu kufungua system yao.. ila ukiwa umemaliza diploma na unataka kuenda degree unatakiwa uombe kupitia nacte na sio tcu.. ingieni ktk website yao tangazo lipoooo
 
Acheni kujambisha watu, kuna watu hawajamaliza diploma kumbuka na wengine wana hadi supplementary na wanategemea kusoma degree,mwaka jana watu wameapply mwezi wa kumi alafu wa 11 wakaanza chuo.
 
Wanafunz waliomaliza diploma wanaomba kupitia nacte na mwsho wa kutuma maombi ni trh 31/5 ila badae muda huongezwa kwa lengo la kuweka sawa vile vyuo ambavyo havipo ktk nacte hii ni baada ya tcu kufungua system yao.. ila ukiwa umemaliza diploma na unataka kuenda degree unatakiwa uombe kupitia nacte na sio tcu.. ingieni ktk website yao tangazo lipoooo
Km haujakuwa na haraka ya kuomba subiri TCU Wafungue system yao
 
Tukumbushane jamani. Deadline inakaribia ya kufunga CAS -NACTE. Deadline ni 31ST MAY, 2016.
TUFANYE MAREKEBISHO YA MWISHO.
Mwenye taarifa za kusaidia waliiomba katika lala salama hii tufahamishane!
TAARIFA KWA WAOMBAJI WA SHAHADA YA KWANZA
Date Posted: 12th March 2016 16:09:22 Posted By: NACTE

TAARIFA KWA UMMA
TAREHE 11 MACHI 2016
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuutangazia umma kuwa waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaoomba kujiunga na Shahada ya Kwanza zinazotolewa na Vyuo Vikuu (Universities) au Vyuo Vikuu Vishiriki (Constituent Colleges of Universities) hawataweza kufanya hivyo sasa. Hii ni kwasababu Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) bado haijafungua rasmi Mfumo wa Udahili wa pamoja (CAS) unaoratibiwa kwa pamoja kati ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU). Tume ya vyuo vikuu inatarajia kufungua mfumo huo wa kudahili kwa waombaji wa Shahada ya Kwanza mara baada ya matokeo ya kidato cha sita kutangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania kuanzia mwezi Mei 2016.

Hivyo basi, ikifika muda huo ndipo waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaotaka kujiunga na Vyuo Vikuu au Vyuo Vikuu Vishiriki kwa ajili ya kusoma Shahada ya Kwanza, wataweza kuanza kuomba kudahiliwa kwa kupitia kwenye Mfumo wa Pamoja wa Udahili (CAS).

Hata hivyo, tunapenda kutoa taarifa pia kuwa kwa wakati huu, waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaotaka kujiunga na Shahada za Kwanza zinazotolewa na vyuo vya Elimu ya Ufundi au Taasisi zilizosajiliwa na Baraza (NACTE) waendelee kuomba kudahiliwa na Taasisi hizo kupitia Mfumo wa Pamoja wa Udahili (CAS) unaoratibiwa na Baraza ambao umezinduliwa tarehe 4 Machi, 2016.

IMETOLEWA NA KITENGO CHA UDAHILI

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)
 
Sorry naomba kujuzwa kwa sie ambao tunahitaji kuunga bachelor but bado hatujafanya mtihani inakuaje hapo wakuu tuappl au baada ya kupata matokeo tutapata nafaasi ya kuapply?maana bado cjawa diploma holder mpaka mwezi July
 
Hujaelewa nini? Maana ili kuapply for degree(bachelor) ni sharti ukidhi vigezo. Aidha uwe umefanya vizuri form 6 au una diploma na sifa nyingine kama hizo.

Kikubwa ni kujiangalia mwenyewe kama unakidhi minimum entry requirements kulingana na kozi unayotaka kuomba kisha usubiri TCU wakiruhusu,uombe. TCU watafungua system baada ya matokeo ya form 6 kutoka.
 
Back
Top Bottom