Spana size 10,12,13,14Wakuu
Kama uzi unavyojieleza,naomba uzi huu uwe special kwa ajiri ya kujifunza kufunga ma-Dish ya Azam,Dstv na Continental
Je,kuwa fundi wa Dish unatakiwa kuwa na vifaa gani?
Asanteni
Kinaitwa satelite finder dar vina patika mchawi helaje kila kifaa kinachotumika kusaidia kutambus kama umefikia level nzuri huwa kinabeep sound kinaitwaje na kinspatikana wapi kwa maeneo ya Dsm?