Copy
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 1,072
- 1,376
Huyo pastor aliyatoa wapi hayo maandiko? Weka source kabisa ili tujisomee wenyewe.Hapa unaonyesha chukki yako kwa wasabato wala huna hoja ya msingi.kwa hili hulijui utendalo, kwani unatimiza unabii,Mungu akusamehe. Hicho kikundi ulichosema cha watu 600 sio kanisa la waadventista wasabato bali ni kikundi kilichochanganyikiwa kama wewe. Pia sio kila anyeelezea historia ya uasi wa kanisa katoliki ni msabato,historia iko wazi kabisa anayetaka kujua ataelewa tu hata kama hamtaki. Jana nimesikiliza kipindi star tv kuna pastor mmoja sijui wa kanisa gan na wali si msabato aliielezea jinsi kanisa la roma lilivyoingia katika vita dhidi ya wale waliohifadhi Maandiko matakatifu yaani Biblia.Waliwapiga vita waldensia kwa kuwa walitunza Biblia halisi.Huu ukweli ukisemwa bado mtawatukana wasabato? Neema ya Bwana wetu Yesu iwaangaze muutambue ukweli na kuufuata.
Alafu, je biblia tunazozitumia mbona hazituelezi chochote juu ya hayo mnayoyasema ninyi? Au unataka kuthibitisha kuwa hizi biblia zote ni zile za kikatoliki? Na kama sio za kikatoliki, mbona hatuoni sehemu zinapozungumzia uovu wa kanisa katoliki?
Note: usianze kutokwa povu wakija wenyewe maana mimi pia sio mkatoliki.