Recent content by Tom Lyimo

  1. T

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete asaini Muswada wa Katiba

    Changa la macho,tusubiri tuone hiyo tume na michakato ya ushirikishwaji wa raia,CDM nao siasa zimewajaa but hawana maslai yoyote kwa raia zaidi ya kuwatafutia matatizo na vifo tu kwa upuuzi vitu vya msingi kama katiba na upandaji wa bei holela hawaandamani ss sijui huwa wanaandamana kwa ajili ya...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbowe aongelea yaliyojiri Ikulu

    Ama kweli siasa ni mchezo mchafu,sioni nini walichoenda kufanya ikulu na mswada ukasainiwa while walituambia wanaenda kumshinikiza Rais asi saini mswada na asipoelewa maandamano nchi nzima,hayo ndio matok,IMANI IMETOWEKA NA HAO CDM!
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ni Nini Hasa Mwanamke Anahitaji?

    maisha bora
  4. T

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa alipokuwa CCM

    we blv in him1
  5. T

    JamiiForums Tanzania Siri Imefichuka! Babu wa Loliondo ametumwa na Shetani

    ukiwa na imani hata ww utapona coz hta shetani anaweza kufanya hvyo!
  6. T

    JamiiForums Tanzania Blog ya Slaa

    Ni mfano mzuri kuwa na blog
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hodi wana jamiiforums

    ur warm welcome!
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mtoto mwenye karama za ajabu aibuka jijini

    This is liar hamna ki2 kama hicho!
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Makamu Rais Dr Shein auwa kwa risasi

    walinzi wetu wana matatizo sana
  10. T

    JamiiForums Tanzania GE2010 Slaa Akata Anga Morogoro

    ufisadi au kuitwa wezi sio lugha za matusi jamani wanataka lugha gani zitumike!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kupita bila kupingwa - is this democracy too?

    kumbe ndio hvyo sasa ina maana tume hailijui hilo?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Matukio Tisa yaliyomdhalilisha Rais Kikwete 2006-2010

    kama hilo la uzinduzi wa hotel ni aibu kweli kweli coz yeye hakuona kwamba ipo road au ndio mambo yetu yaleeeeeeeeeee!
  13. T

    JamiiForums Tanzania Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

    kitabaki wazi but nahisi!
  14. T

    JamiiForums Tanzania Al-Shabaab wavamia hoteli na kuua wabunge 6...!

    poleni kwa matatizo!
  15. T

    JamiiForums Tanzania GE2010 Dr. Slaa awe kiongozi mkuu wa Chadema kuelekea Uchaguzi Mkuu?

    Itabidi awe mweyekiti ili tuende sawa na msingi ya utawala wa mgombea uraisi!
Back
Top Bottom