Siri Imefichuka! Babu wa Loliondo ametumwa na Shetani

wewe unayeyafahamu maandiko vizuri yufafanulie sasa, sio kuponda tu na huleti wazo lolote la maana

Mwenzio mafundisho yote yaliyo fundishwa na Biblia Nimeng'ang'ana na neno UPENDO.
UPENDO ni yote ktk yote.
 
Siri yenyewe iliyofichuka ipo wapi sasa??
Kama huna cha kupost ni bora usome comments za wenzako tu...this iz ''Holy Crap''
Mpaka sasa hiyo siri iliyofichuka hujaiona tu? Kazi mojawapo ya shetani ni kuwapofusha watu fikra zao ili nuru ya Injili wasiione.
Huyo Babu anasema ameoteshwa na Mungu...ametumwa na Mungu. Mungu hawezi kupingana na Neno lake(Biblia). Ukweli ni kwamba mungu anayemsema huyo Babu ni mungu wa dunia hii(Shetani) "anayeponya" magonjwa manne tu!!! Mungu wa kweli anaponya magonjwa yote na udhaifu wa kila aina "Yesu akawaita wanafunzi wake...akawapa amri juu ya pepo wachafu, wawatoe na kupoza magonjwa yote na udhaifu wa kila aina(Mathayo 10:1). Mungu hana upendeleo, hawezi kuwaponya wenye kansa,kisukari,blood pressure na ukimwi na kuwaacha wanaoteswa na majini(pepo), wenye mafua yasiyopona, wenye majipu mabaya, wenye ngozi zinazowasha kila wakati, wenye fizi zinazotoka damu daima, wasiozaa(tasa), wenye macho yasiyoona vizuri, wasio na nguvu za kiume, nk nk nk. Kinachowafanya wengi wasipone wanapoombewa makanisani ni upungufu wa imani. Yesu alipoenda katika mji mmoja hakuwaponya watu wengi huko kwa sababu hawakumwamini. Na wengine wanataka wapone tu halafu waendelee na dhambi zao. Ndio maana mafisadi, makahaba, majambazi, wanakimbilia kwa babu maana huko hakuna Injili. Yesu hakuja duniani kuponya tu. Alikuja pia kuleta Injili(habari njema, watu waokoke) ili waweze kwenda mbinguni na kuwa na uzima wa milele. Itakusaidia nini uende kwa babu upone ukimwi, kisukari, kisha uendelee na dhambi zako, kisha uangamie katika moto wa milele? Maisha ya dunia hii ni mafupi. Hebu tutafakari pia maisha ya milele.
 
Sio kweli kwamba Babu wa Loliondo ametumwa na Mungu kutumia dawa hiyo kuwaponya watu. Huyo Babu ametumwa na "mungu wa dunia hii(shetani) ili kuwadanganya watu waache kumtumaini na kumwamini Mungu wa kweli ili hatimaye waangamie siku ile ya mwisho. Soma 2 Wakorintho 4:4 na kisha tafakari kwa makini hoja zifuatazo utathibitisha ukweli huo.
Kwanza: Mungu kwa njia ya Yesu Kristo anaponya magonjwa yote na udhaifu wa kila aina. Watanzania hawasumbuliwi na magonjwa hayo manne tu. Wengine wana mafua yasiyopona, wengine wana majipu ya muda mrefu. Wengine wana magonjwa mabaya ya ngozi nk. Ingekuwa ni Mungu amemtuma, angemwambia aponye magonjwa yote. Yesu alipokuwa hapa duniani aliponya maradhi yote.
Pili: kitendo cha kusema kwamba ni yeye tu Babu mwenye uwezo wa kufanya dawa hiyo iponye magonjwa sio cha kibiblia. Biblia inasema "na ishara hizi(uponyaji ukiwemo) zitafuatana na kila aaminiye..."
Tatu: Yesu alisema "Mtaweka mikono yenu juu ya wagonjwa nao watapata afya" Sio mtawapa kikombe na kuwaombea.
Nne: Kitendo cha kuuza dawa hiyo sio cha kibiblia. Maadam anasema amepewa uwezo huo na Mungu basi hapaswi kuuza uponyaji huo hata kwa shilingi moja. Na kama lengo ni kupata pesa hizo ili kuwapa wasaidizi wake kwanini iwe sh. 500 tu? Shilingi 500 zinafaa nini katika hali ngumu ya maisha waliyo nayo Watanzania leo?
Tano: Mungu anapowaponya watu anawaambia pia waache dhambi. Yesu alimwambia yule aliyemponya "Usitende dhambi tena lisije likakupata lililo baya zaidi kuliko hilo" Huyu Babu anawapa watu dawa tu bila kuwaambia waache ufisadi, rushwa, ujambazi...wakipona si ndio wataendelea kufanya madhambi hayo kwa nguvu zaidi? Mungu hawaponyi watu ili waendelee kufanya dhambi.
Sita: Kama hiyo dawa inaponyesha kwa imani, kwanini anaichemsha kwanza? Imani ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
Saba: Babu anadai kwamba dawa hiyo inaponyesha kwa imani. Mbona basi watu wanapotaka kujichukulia dawa hiyo anawaambia kwamba hawatapona? Yule mama (katika Biblia) aliyekuwa anatokwa damu aligusa upindo wa vazi la Yesu akapona kwa imani. Lakini huyu Babu hataki mtu ajichukulie kikombe mwenyewe hata kama anayo imani.
Nane: Watu wanapotaka kumpa huyu Babu sadaka(magari, nyumba), kwanini anakataa? Wana wa Lawi (katika Biblia) waliambiwa watakula madhabahuni. Sadaka zilipotolewa hawakukataa.
Tisa: Mungu akiponya, uponyaji wake hauwi nusu nusu. Kitabu cha Agano Jipya kinaeleza wazi jinsi watu walivyoponywa kwa ukamilifu magonjwa yao. Kwanini basi katika hao walioenda kwa Babu baadhi yao wanasema kwamba wanajisikia nafuu badala ya kusema wamepona kabisa?
Kumi: Mtumishi wa Mungu ni mtiifu. Mungu anapomwambia jambo anatii. Huyu kama Mungu alimwambia atumie dawa hiyo tangu mwaka 1991 kwanini amempinga Mungu kwa miaka 20? Ni watu wangapi wamekufa kwa magonjwa muda huo wote. Kwanini amekuwa mbishi muda huo wote? Ana huruma kweli na wagonjwa? Mungu hapendezwi na watu wasiomtii.Yona katika Biblia alipoambiwa aende Ninawi alikataa. Kilichompata ni kumezwa na Nyangumi.Kwa msingi huo siamini kwamba Mungu ndiye aliyemwambia atumie dawa hiyo. Vinginevyo Mungu asingemvumilia kwa miaka hiyo yote huku Watanzania wanaendelea kuangamia kwa magonjwa.
Mwisho, najiuliza: Yesu alipokuwa hapa duniani mbona hakuponya watu kwa kuwapa magamba ya miti, majani ya miti nk. Alisema neno tu na magonjwa yakatoweka. Ina maana mti huo utakapokwisha Loliondo na uponyaji ndio utaishia hapo?

Nikiangalia pia Maandiko Matakatifu naona kuwa walikuwepo watu waliosema Mungu amewatuma kufanya hivi au vile na kumbe ni uongo. Biblia pia inasema juu ya "mungu"(wa herufi ndogo)wa dunia hii. Naye anatenda ishara na miujiza. Wakati wa Musa, kule Misri, Musa, Mtumishi wa Mungu, alifanya ishara na miujiza mikubwa na waganga na wachawi wa Misri wakati huo nao wakafanya ishara kama hizo. Na hata waganga wa kienyeji nao pia husema kwamba wanaponya kwa uwezo wa mungu.
Maandiko Matakatifu yanatueleza pia kwamba nyakati za mwisho(naamini hizi ni nyakati za mwisho maana ishara alizozitaja Yesu zimetimia) watatokea manabii wengi wa uongo na kuwadanganya wengi.
Jamani Watanzania "Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo"
Siri imefichuka! Hoja hizo na maandiko hayo ya Biblia yanathibitisha wazi kwamba huyo Babu hajatumwa na Mungu. Ila ni shetani anamtumia kuwadanganya watu. Tusikubali kudanganywa. Hata waganga na wachawi wa leo na wao huwaambia wateja wao kwamba wanaponya au kufanya miujiza kwa uweza wa mungu. I dare to talk openly Huyo mungu wanayemtaja ni mungu wa dunia hii (shetani). Mwenye masikio na asikie.
Mbona hata masihi alimponya yule kipofu kwa kumpaka tope machoni,haukumbuki kule kana aliwaamuru wajaze mapipa maji na kuyaombea yakawa mvinyo?kwanini asingeomba tuu utokee mvinyo bila kuwapo na maji?Kumbuka imani inaponya,yeyote amwaminie babu na apate uponyaji.Amin amin nakwambia hakuna utakayembadili humu ndani,kwani hujui kwamba kila nafsi inahitaji uponyaji?Kumbuka kuna waumini kibao makanisani wanaenda kwa waganga na kuhangaika huku na kule kusaka uponyaji,unafikiri watu hao utawafungulia sura gani ya biblia na koran ili wapate kukuelewa?kama wewe ni mmoja wa waliopoteza waumini wao tafuta mbinu nyingine za kuwarudisha lakini sio kuwatishia ushirikina,,jiheshimu uheshimike!!!
 
The thread is well narrated and full of truth!! Hapo mwenye masikio na asikie na sio kuanza kuleta ubishi husio na maana wana JF......watu wengine humu ndani mkiulizwa Mara ya mwisho lini mmeshika Biblia hata Hamkumbuki.....mtu anawasaidia kupata angalau Insight mnaanza kumshambulia kwa maneno ya dharau....Kumbukeni mtaulizwa hii hesabu mnayoishuhudia hapa kwa Uma.....Nashahuri Kama hujui kitu Uliza kwa ufafanuzi zaidi au kaa kimya.....Kwani wote waliokaa Kimya ni wajinga?? Kuweni Makini nyie watu bwana!!
 
wewe unayeyafahamu maandiko vizuri yufafanulie sasa, sio kuponda tu na huleti wazo lolote la maana

Mwacheni babu wa watu na kazi yake. kwanza hakutangaza matibabu yake bali watu waliopona ndio waliowaambia wenzao na waandishi wa habari wakaanza kutangaza wenyewe.

Hayo mambo yenu ya biblia yanatoka wapi? acheni tiba wala hakuna mtu anayewalazimisha.
 
Sio kweli kwamba Babu wa Loliondo ametumwa na Mungu kutumia dawa hiyo kuwaponya watu. Huyo Babu ametumwa na "mungu wa dunia hii(shetani) ili kuwadanganya watu waache kumtumaini na kumwamini Mungu wa kweli ili hatimaye waangamie siku ile ya mwisho. Soma 2 Wakorintho 4:4 na kisha tafakari kwa makini hoja zifuatazo utathibitisha ukweli huo.
Kwanza: Mungu kwa njia ya Yesu Kristo anaponya magonjwa yote na udhaifu wa kila aina. Watanzania hawasumbuliwi na magonjwa hayo manne tu. Wengine wana mafua yasiyopona, wengine wana majipu ya muda mrefu. Wengine wana magonjwa mabaya ya ngozi nk. Ingekuwa ni Mungu amemtuma, angemwambia aponye magonjwa yote. Yesu alipokuwa hapa duniani aliponya maradhi yote.
Pili: kitendo cha kusema kwamba ni yeye tu Babu mwenye uwezo wa kufanya dawa hiyo iponye magonjwa sio cha kibiblia. Biblia inasema "na ishara hizi(uponyaji ukiwemo) zitafuatana na kila aaminiye..."
Tatu: Yesu alisema "Mtaweka mikono yenu juu ya wagonjwa nao watapata afya" Sio mtawapa kikombe na kuwaombea.
Nne: Kitendo cha kuuza dawa hiyo sio cha kibiblia. Maadam anasema amepewa uwezo huo na Mungu basi hapaswi kuuza uponyaji huo hata kwa shilingi moja. Na kama lengo ni kupata pesa hizo ili kuwapa wasaidizi wake kwanini iwe sh. 500 tu? Shilingi 500 zinafaa nini katika hali ngumu ya maisha waliyo nayo Watanzania leo?
Tano: Mungu anapowaponya watu anawaambia pia waache dhambi. Yesu alimwambia yule aliyemponya "Usitende dhambi tena lisije likakupata lililo baya zaidi kuliko hilo" Huyu Babu anawapa watu dawa tu bila kuwaambia waache ufisadi, rushwa, ujambazi...wakipona si ndio wataendelea kufanya madhambi hayo kwa nguvu zaidi? Mungu hawaponyi watu ili waendelee kufanya dhambi.
Sita: Kama hiyo dawa inaponyesha kwa imani, kwanini anaichemsha kwanza? Imani ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
Saba: Babu anadai kwamba dawa hiyo inaponyesha kwa imani. Mbona basi watu wanapotaka kujichukulia dawa hiyo anawaambia kwamba hawatapona? Yule mama (katika Biblia) aliyekuwa anatokwa damu aligusa upindo wa vazi la Yesu akapona kwa imani. Lakini huyu Babu hataki mtu ajichukulie kikombe mwenyewe hata kama anayo imani.
Nane: Watu wanapotaka kumpa huyu Babu sadaka(magari, nyumba), kwanini anakataa? Wana wa Lawi (katika Biblia) waliambiwa watakula madhabahuni. Sadaka zilipotolewa hawakukataa.
Tisa: Mungu akiponya, uponyaji wake hauwi nusu nusu. Kitabu cha Agano Jipya kinaeleza wazi jinsi watu walivyoponywa kwa ukamilifu magonjwa yao. Kwanini basi katika hao walioenda kwa Babu baadhi yao wanasema kwamba wanajisikia nafuu badala ya kusema wamepona kabisa?
Kumi: Mtumishi wa Mungu ni mtiifu. Mungu anapomwambia jambo anatii. Huyu kama Mungu alimwambia atumie dawa hiyo tangu mwaka 1991 kwanini amempinga Mungu kwa miaka 20? Ni watu wangapi wamekufa kwa magonjwa muda huo wote. Kwanini amekuwa mbishi muda huo wote? Ana huruma kweli na wagonjwa? Mungu hapendezwi na watu wasiomtii.Yona katika Biblia alipoambiwa aende Ninawi alikataa. Kilichompata ni kumezwa na Nyangumi.Kwa msingi huo siamini kwamba Mungu ndiye aliyemwambia atumie dawa hiyo. Vinginevyo Mungu asingemvumilia kwa miaka hiyo yote huku Watanzania wanaendelea kuangamia kwa magonjwa.
Mwisho, najiuliza: Yesu alipokuwa hapa duniani mbona hakuponya watu kwa kuwapa magamba ya miti, majani ya miti nk. Alisema neno tu na magonjwa yakatoweka. Ina maana mti huo utakapokwisha Loliondo na uponyaji ndio utaishia hapo?

Nikiangalia pia Maandiko Matakatifu naona kuwa walikuwepo watu waliosema Mungu amewatuma kufanya hivi au vile na kumbe ni uongo. Biblia pia inasema juu ya "mungu"(wa herufi ndogo)wa dunia hii. Naye anatenda ishara na miujiza. Wakati wa Musa, kule Misri, Musa, Mtumishi wa Mungu, alifanya ishara na miujiza mikubwa na waganga na wachawi wa Misri wakati huo nao wakafanya ishara kama hizo. Na hata waganga wa kienyeji nao pia husema kwamba wanaponya kwa uwezo wa mungu.
Maandiko Matakatifu yanatueleza pia kwamba nyakati za mwisho(naamini hizi ni nyakati za mwisho maana ishara alizozitaja Yesu zimetimia) watatokea manabii wengi wa uongo na kuwadanganya wengi.
Jamani Watanzania “Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo"
Siri imefichuka! Hoja hizo na maandiko hayo ya Biblia yanathibitisha wazi kwamba huyo Babu hajatumwa na Mungu. Ila ni shetani anamtumia kuwadanganya watu. Tusikubali kudanganywa. Hata waganga na wachawi wa leo na wao huwaambia wateja wao kwamba wanaponya au kufanya miujiza kwa uweza wa mungu. I dare to talk openly Huyo mungu wanayemtaja ni mungu wa dunia hii (shetani). Mwenye masikio na asikie.

Pumba hiyo. Kwa hiyo shetani anaponya? Usisome mstari bila kuunganisha maudhui yote. Haya hayo maandishi yanawahusu nini wanaopona? Mbona Mungu huyo huyo anatajwa na Babu? Ila matapeli wanaonufaika na maradhi ya watu, imekula kwao watu wamezinduka wamekumbatia kikombe cha babu. Kama huyo babu anatumia nguvu za shetani basi wamkemee kama wataweza. Mungu ni kwa ajili ya watu si kwa ajili ya shetani. Watu labda kama wewe ndio mnamtukuza shetani kwa kutotaka watu wapone.
 
The thread is well narrated and full of truth!! Hapo mwenye masikio na asikie na sio kuanza kuleta ubishi husio na maana wana JF......watu wengine humu ndani mkiulizwa Mara ya mwisho lini mmeshika Biblia hata Hamkumbuki.....mtu anawasaidia kupata angalau Insight mnaanza kumshambulia kwa maneno ya dharau....Kumbukeni mtaulizwa hii hesabu mnayoishuhudia hapa kwa Uma.....Nashahuri Kama hujui kitu Uliza kwa ufafanuzi zaidi au kaa kimya.....Kwani wote waliokaa Kimya ni wajinga?? Kuweni Makini nyie watu bwana!!

You quoting the bible out of context. Unahukumu unataka tukae kimya kwa nini? Kwa sababu umeshindwa kufunguliwa kilichoandikwa kwenye hiyo quotation na macho ya kiroho.

Heshimu imani za watu kwani wanapona kwa imani
 
mods please delete this therad

Toa hoja wewe, sio kila ki2 unakimbilia kwa mods!

Wote waliokunywa na wanaotazamia kunywa na wanaotaman kwenda kunywa wamepotea! shetan ni mjanja sana, amewafunga wa2 akili wasifikiri kiundan jambo hili, haya sasa mtaenda na rombo mana nimesikia yuko mwingine huko tena anadai atakuja mwenzao mwingine na watakuwa watatu.
niulize swali, ni lini babu aliutafuta uso wa MUNGU hata apewe huo uwezo? kila muujiza ni ili MUNGU atukuzwe lakin kule ni kinyume wa2 wanam2kuza babu na kikombe, tena utawasikia.. twende kupata kikombe, mi nawatia moyo njoon kwa yesu mtenda miujiza na mnye damu yake inenayo mema nanyi mtayashuhudia matendao yake coz alisulubiwa pale msalaban na dam yake iwe juu ye2 na familia ze2 2kimwamini.
 
The thread is well narrated and full of truth!! Hapo mwenye masikio na asikie na sio kuanza kuleta ubishi husio na maana wana JF......watu wengine humu ndani mkiulizwa Mara ya mwisho lini mmeshika Biblia hata Hamkumbuki.....mtu anawasaidia kupata angalau Insight mnaanza kumshambulia kwa maneno ya dharau....Kumbukeni mtaulizwa hii hesabu mnayoishuhudia hapa kwa Uma.....Nashahuri Kama hujui kitu Uliza kwa ufafanuzi zaidi au kaa kimya.....Kwani wote waliokaa Kimya ni wajinga?? Kuweni Makini nyie watu bwana!!

Acha upuuzi wewe … kushika biblia wakati unakwenda kufanya uzinzi na ufisadi inasaidia nini …. Lengo la biblia ni kuwakumbusha wanadamu kutenda mambo mema duniani …. Uelewa wako ni wa kinafiki Hata ukibeba kiroba cha biblia kama ni muovu ni muovu tu ….
 
Ebwana huna kazi nyingine ya kufanya? Maana we haiwezekana ujiunge jamvini leo alafu post yako ya kwanza unamshambulia babu wa loliondo. Umetumwa au?
 
Kweli siri imejulikana kwamba wewe mediaman na babako shetani mna mkakati wakupotosha jamii kwa kukariri baadhi ya mistari,Jesus aliponya hata kwa tope na kwa neno! Unavyosema hakutumia gome la mti,em' soma Ezekiel 47:12 na kama haitoshi soma ufunuo 22:2!!
Ukienda kwa babu, hata maandiko utashindwa kuyaelewa! Huo mti unaozungumzwa katika Ufunuo 22 ni mti unaozaa matunda aina 12 na haupo sasa duniani. Utakuwepo wakati wa utawala wa Yesu. Huo mti wa Loliondo una sumu. Usiulinganishe mti wa uzima na mti wa Loliondo.
Na kama babu anataka kufuata nyayo za Yesu kwa kuponya kwa tope, si atumie tope basi? matope ni mengi Loliondo kuliko huo mti. Isitoshe anaharibu mazingira kwa kukata miti ya kuni za kuchemshia hiyo dawa!
 
Huyu lazima either atakuwa ka-tortoise mwenyewe au mfuasi wake tu.... sababu hii thread yote ame-quote aliyosema huyo mkuu :lol:!!!!
Haka ni kafuasi ka ushabiki maandazi, kameposti humu ili kuzidi kujipendekeza kwa
mkuu wake ili kaonekane kanamsadia mkuu kazi ya Bwana.

Sio siri, wengi wa hawa wachungaji wa miujiza, wana capitalize kwenye shida za waumini wao, na makanisa yao yanafurika waumini wenye shida mbalimbali, ambapo tangu kuibuka kwa babu, waumini wao wenye shida wamekimbilia Loliondo hivyo wanagopa wakipona, hawatarudi tena makanisa yao, hivyo wao kukosa sadaka.
 
Siri yenyewe iliyofichuka ipo wapi sasa??
Kama huna cha kupost ni bora usome comments za wenzako tu...this iz ''Holy Crap''

Nimefungua upesi upesi ili nisome hiyo siri iliyofichuka, nakuta si lolote si chochote. :angry:
 
The thread is well narrated and full of truth!! Hapo mwenye masikio na asikie na sio kuanza kuleta ubishi husio na maana wana JF......watu wengine humu ndani mkiulizwa Mara ya mwisho lini mmeshika Biblia hata Hamkumbuki.....mtu anawasaidia kupata angalau Insight mnaanza kumshambulia kwa maneno ya dharau....Kumbukeni mtaulizwa hii hesabu mnayoishuhudia hapa kwa Uma.....Nashahuri Kama hujui kitu Uliza kwa ufafanuzi zaidi au kaa kimya.....Kwani wote waliokaa Kimya ni wajinga?? Kuweni Makini nyie watu bwana!!

Wana JF, naomba tujifunze kuchukuliana. Hakuna sababu ya kumshambulia mtoa hoja kwa sababu ya Imani yake. Aliyoyaandika yote yako katika Biblia. Biblia ina tafsiri pana na hakuna mtu atasema tafsiri yake ni sahihi ya zingine. Itapendeza ikiwa kuna kitu mtu hajakielewa akaomba ufafanuzi ili apate kuelewa. Akiridhishwa na maelezo ayafuate na asipokubaliana nayo aendelee na njia zake. Ninashindwa kuelewa picha ninayoiona kwa mchangiaji anayetaka aonekane anajua Mungu kuliko mtoa mada wakati nikiangalia contents, huyo mtoa mada mnayem demonize ameandika mistari mizuri ya Biblia na wewe sasa unayechangia huna reference hata moja ya kutetea hoja zako, zaidi ya matusi. WALE WOTE MNAOMTUKANA MATUSI MWANDISHI WA HOJA HII, NAPENDA KUWAAMBIA KWAMBA, HAMTAFANYA JAMII ISIKUBALI MAKALA HII NA IKUBALI HOJA YENU YA KWAMBA NINYI NDIO MNA MUNGU KWA NJIA YA KULAZIMISHA NA KUTUKANA MATUSI MAKUBA MAKUBWA. MNAPOTEA. Naomba Shindaneni kwa hoja za Ki Biblia. Na kama utamaduni wetu katika jamvi hili ulivyo, jadilianeni. Kama huna hoja afadhali kunyamaza kuliko kutukana eti kwa kisingizio cha kutetea uwepo wa Mungu kwenye dawa za Loliondo! Uwepo wa Mungu mahali hauhitaji kuthibitishwa kwa matusi watu wa Mungu. Naomba hekima ya Mungu itawale mjadala huu na tuheshimu uhuru na utu wa Mwandishi.
Nawasilisha.
 
Pole mediaman naona siku umeianza vibaya, yaani pamoja na kujua mistari yote hiyo ya bible bado unathubutu kusema uongo, mimi sijawahi kusikia mtu anaitwa mediaman toka nizaliwe. Sasa tuambie wewe unamuamini Mungu au mungu?
 
...a thread from outdated, obsolete & backward mind for consumption of outdated, obsolete & backward people. Period!
Sio kweli kwamba Babu wa Loliondo ametumwa na Mungu kutumia dawa hiyo kuwaponya watu. Huyo Babu ametumwa na "mungu wa dunia hii(shetani) ili kuwadanganya watu waache kumtumaini na kumwamini Mungu wa kweli ili hatimaye waangamie siku ile ya mwisho. Soma 2 Wakorintho 4:4 na kisha tafakari kwa makini hoja zifuatazo utathibitisha ukweli huo.
Kwanza: Mungu kwa njia ya Yesu Kristo anaponya magonjwa yote na udhaifu wa kila aina. Watanzania hawasumbuliwi na magonjwa hayo manne tu. Wengine wana mafua yasiyopona, wengine wana majipu ya muda mrefu. Wengine wana magonjwa mabaya ya ngozi nk. Ingekuwa ni Mungu amemtuma, angemwambia aponye magonjwa yote. Yesu alipokuwa hapa duniani aliponya maradhi yote.
Pili: kitendo cha kusema kwamba ni yeye tu Babu mwenye uwezo wa kufanya dawa hiyo iponye magonjwa sio cha kibiblia. Biblia inasema "na ishara hizi(uponyaji ukiwemo) zitafuatana na kila aaminiye..."
Tatu: Yesu alisema "Mtaweka mikono yenu juu ya wagonjwa nao watapata afya" Sio mtawapa kikombe na kuwaombea.
Nne: Kitendo cha kuuza dawa hiyo sio cha kibiblia. Maadam anasema amepewa uwezo huo na Mungu basi hapaswi kuuza uponyaji huo hata kwa shilingi moja. Na kama lengo ni kupata pesa hizo ili kuwapa wasaidizi wake kwanini iwe sh. 500 tu? Shilingi 500 zinafaa nini katika hali ngumu ya maisha waliyo nayo Watanzania leo?
Tano: Mungu anapowaponya watu anawaambia pia waache dhambi. Yesu alimwambia yule aliyemponya "Usitende dhambi tena lisije likakupata lililo baya zaidi kuliko hilo" Huyu Babu anawapa watu dawa tu bila kuwaambia waache ufisadi, rushwa, ujambazi...wakipona si ndio wataendelea kufanya madhambi hayo kwa nguvu zaidi? Mungu hawaponyi watu ili waendelee kufanya dhambi.
Sita: Kama hiyo dawa inaponyesha kwa imani, kwanini anaichemsha kwanza? Imani ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
Saba: Babu anadai kwamba dawa hiyo inaponyesha kwa imani. Mbona basi watu wanapotaka kujichukulia dawa hiyo anawaambia kwamba hawatapona? Yule mama (katika Biblia) aliyekuwa anatokwa damu aligusa upindo wa vazi la Yesu akapona kwa imani. Lakini huyu Babu hataki mtu ajichukulie kikombe mwenyewe hata kama anayo imani.
Nane: Watu wanapotaka kumpa huyu Babu sadaka(magari, nyumba), kwanini anakataa? Wana wa Lawi (katika Biblia) waliambiwa watakula madhabahuni. Sadaka zilipotolewa hawakukataa.
Tisa: Mungu akiponya, uponyaji wake hauwi nusu nusu. Kitabu cha Agano Jipya kinaeleza wazi jinsi watu walivyoponywa kwa ukamilifu magonjwa yao. Kwanini basi katika hao walioenda kwa Babu baadhi yao wanasema kwamba wanajisikia nafuu badala ya kusema wamepona kabisa?
Kumi: Mtumishi wa Mungu ni mtiifu. Mungu anapomwambia jambo anatii. Huyu kama Mungu alimwambia atumie dawa hiyo tangu mwaka 1991 kwanini amempinga Mungu kwa miaka 20? Ni watu wangapi wamekufa kwa magonjwa muda huo wote. Kwanini amekuwa mbishi muda huo wote? Ana huruma kweli na wagonjwa? Mungu hapendezwi na watu wasiomtii.Yona katika Biblia alipoambiwa aende Ninawi alikataa. Kilichompata ni kumezwa na Nyangumi.Kwa msingi huo siamini kwamba Mungu ndiye aliyemwambia atumie dawa hiyo. Vinginevyo Mungu asingemvumilia kwa miaka hiyo yote huku Watanzania wanaendelea kuangamia kwa magonjwa.
Mwisho, najiuliza: Yesu alipokuwa hapa duniani mbona hakuponya watu kwa kuwapa magamba ya miti, majani ya miti nk. Alisema neno tu na magonjwa yakatoweka. Ina maana mti huo utakapokwisha Loliondo na uponyaji ndio utaishia hapo?

Nikiangalia pia Maandiko Matakatifu naona kuwa walikuwepo watu waliosema Mungu amewatuma kufanya hivi au vile na kumbe ni uongo. Biblia pia inasema juu ya "mungu"(wa herufi ndogo)wa dunia hii. Naye anatenda ishara na miujiza. Wakati wa Musa, kule Misri, Musa, Mtumishi wa Mungu, alifanya ishara na miujiza mikubwa na waganga na wachawi wa Misri wakati huo nao wakafanya ishara kama hizo. Na hata waganga wa kienyeji nao pia husema kwamba wanaponya kwa uwezo wa mungu.
Maandiko Matakatifu yanatueleza pia kwamba nyakati za mwisho(naamini hizi ni nyakati za mwisho maana ishara alizozitaja Yesu zimetimia) watatokea manabii wengi wa uongo na kuwadanganya wengi.
Jamani Watanzania Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo"
Siri imefichuka! Hoja hizo na maandiko hayo ya Biblia yanathibitisha wazi kwamba huyo Babu hajatumwa na Mungu. Ila ni shetani anamtumia kuwadanganya watu. Tusikubali kudanganywa. Hata waganga na wachawi wa leo na wao huwaambia wateja wao kwamba wanaponya au kufanya miujiza kwa uweza wa mungu. I dare to talk openly Huyo mungu wanayemtaja ni mungu wa dunia hii (shetani). Mwenye masikio na asikie.
 
wewe kweli umejiunga leo umshambulie babu tu watu hawatetereku huku na inaonekana umekariri biblia badala ya kuisoma na kuielewa Kapete kikombe kwa babu kikutakase
 
Mbona hata masihi alimponya yule kipofu kwa kumpaka tope machoni,haukumbuki kule kana aliwaamuru wajaze mapipa maji na kuyaombea yakawa mvinyo?kwanini asingeomba tuu utokee mvinyo bila kuwapo na maji?Kumbuka imani inaponya,yeyote amwaminie babu na apate uponyaji.Amin amin nakwambia hakuna utakayembadili humu ndani,kwani hujui kwamba kila nafsi inahitaji uponyaji?Kumbuka kuna waumini kibao makanisani wanaenda kwa waganga na kuhangaika huku na kule kusaka uponyaji,unafikiri watu hao utawafungulia sura gani ya biblia na koran ili wapate kukuelewa?kama wewe ni mmoja wa waliopoteza waumini wao tafuta mbinu nyingine za kuwarudisha lakini sio kuwatishia ushirikina,,jiheshimu uheshimike!!!

Hakika umesema ukweli ndugu kwa wale wanaopotea. Wamwamini babu tu wapone. Lakini mimi namwamini Yesu Kristu ambaye huyo babu hathubutu hata kulitaja jina lake.
 
Back
Top Bottom