Mtoto mwenye karama za ajabu aibuka jijini

Walokole tunaye yesu wala si kakobe wala awaye yote,nae kakobe haponyi bali yesu, kakobe na wengine wote humwomba mungu kwa jina la yesu na wagonjwa hupokea kupona.hata wewe mwislam ukutanapo na nguvu za giza kemea "kwa jina la yesu" ushangae mapepo watakavyopeperuka.yesu hana ubaguzi wowote maana alikuja kwa ajili ya wote wapate kuwa hai.

na nyinyi walokole si mnae mchungaji kakobe na mchungaji rwakatare wanaye watowa watu mapepo wachafu? Mchungaji kakobe na mchungaji rwakatare ni manabii wa uongo hao wanaotowa watu mapepo wachafu.

mathayo/ chapter 24

4yesu akawajibu, "jihadharini msije mkadanganywa na mtu.

5 maana wengi watatokea na kulitumia jina langu wakisema: `mimi ndiye kristo,` nao watawapotosha watu wengi.

11 watatokea manabii wengi wa uongo watakaowapotosha watu wengi.
 
Msogeze kwa yesu uone mapepo yakavyokurupuka .weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..........thubutuuuuuu........allah hataonekana tena!
 
Ni kwa uweza za Allah!

yap, huo ni kwa uwezo wa allah, mungu wa chini, mungu mwezi na nyota, yaani shetani. Mungu wa kweli si allah, Mungu aliyeumba mbingu na nchi ni Mungu asiyeruhusu majini kushirikiana naye, haruhusu kusilimu majini, wala haruhusu kufuga majini au kusaidiwa na majini. Mungu wa Kweli, yaani Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo si allah, allah wa kiislam ni shetani, na ninafikiri kwa uwezo wa huyo allah, ndio huyo mtoto anafanya hivyo. haujakosea.
 
Ahaa is one of themones......, Watu wawe waangalifu sana, yule dogo alie tokeaga last time alikuja kwa design hii hii yupowa pi sasa nobody knows, ONLY! ONLY and ONLY JESUS OF NAZARETH HEALS WITHOUT MASHARTI, WHOEVER BELIEVES IN HIM SHALL BE HEALED. Watch out, hata huyu atapotea kama upepo tu.
 
uyo kaingiwa na mapepo tu. ukifika pale, taja jina la Yesu kama haujaona amekuwa chali chini anatoa mapovu. kama shetani ameweka magonjwa kwenye miili ya watu, anao pia uwezo wa kuyatoa hayo magonjwa ili kuwapiga upofu wanaofuata njia hiyo waone kama wanamfuata Mungu kumbe siyo. Mkitaka idhihirike kama kweli uyo mtoto anatumiwa na huyo mnayemwita mnyazimungu, tajeni Jina la Yesu, ataruka mashetani hadi akome...manake mashetani kiboko yao ni Jina la Yesu tu.

Hapo umenena maana Hayo ndiyo yale mafundisho ya mashetani na roho zidanganyazo kama ilivyoandikwa katika kitabu cha 1Timotheo 4.1Roho asema waziwazi kwamba katika siku za mwisho baadhi ya watu wataiacha imani na kufuata roho zidanganyazo na mafundisho ya mashetani. 2Mafundisho kama hayo huja kwa kupitia kwa waongo ambao ni wanafiki hali dhamiri zao zikiungua kwa kuchomwa na moto.

Amuombee jamaa muanguka majukwaani......!

Wafalme wengi wa dunia wamepata madarakani kwa kuzini na shatani kupitia makafara/mizimu au taratibu nyingi amabazo si za kiMungu Hapa namaanisha mtu yeyote ambaye hajaokoka yaani hana YESU wala roho wala roho mtakatifu huyo anaye shetani cause there is point of neutrality.If you dont have JESUS you must have satan who is making you king/presdent.

Bwana Yesu sasa anaanza kuwafyeka wote waliopewa madaraka na shetani kupitia makafara n.k kwa ajili ya Ufalme Mungu tunaousubiri. Kwa sasa majukwaa ni ya moto mashetani yaliyo ndani ya wanadamu yanashindwa kusimama kwa sababu ya moto wa Mungu
 
Kale kengine kanaishi Gambia baada ya MAJINI kukachomoka! Teh teh teh! ..........Kama malaika wa nuru vile!
 
Mkisikia yupo kondeni msiende
mkisikia yupo milimani msitoke
Aliye shambani asirudi kufuata koti lake nyumbani
......
Nimeipenda sana,Mungu atusaidie! niliwahi kumsikia siku nyingi sana Arusha hakuwa na kazi nyingine zaidi ya kupingana na Biblia!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hata shetani naye hujigeuza na kujifanya malaika wa nuru. Asomaye na afahamu...
Kwa maana hapana jina lingine walilopewa wanadamu, litupasalo sisi kuokolewa kwalo isipokuwa JINA LA YESU.
Umenena vema,barikiwa
 
Kakobe na Rwakatare hawaponyi wagonjwa, anayeponyesha ni Yesu. Ndivyo Biblia inatwambia.
 
Kwani hiki cheo cha sheikh hata watoto wanapewa tu? kinatokana na nini?kusomea?
hahaaa eeeeee! shekhe yahya, hawa wote ni waganga wa kienyeji wanaotumia nguvu za kijini, a.k.a shekhe yahya, na mtu anayetibu watu kwa masharti huwa hatoi nguvu hizo kwa Mungu isipokuwa kwa shetani
 
Huyo dogo ana majini wapi kwenye quran ambapo month aliwahi kuponya magonjwa jamani tuwe makini sana tafadhali
 
uyo kaingiwa na mapepo tu. ukifika pale, taja jina la Yesu kama haujaona amekuwa chali chini anatoa mapovu. kama shetani ameweka magonjwa kwenye miili ya watu, anao pia uwezo wa kuyatoa hayo magonjwa ili kuwapiga upofu wanaofuata njia hiyo waone kama wanamfuata Mungu kumbe siyo. Mkitaka idhihirike kama kweli uyo mtoto anatumiwa na huyo mnayemwita mnyazimungu, tajeni Jina la Yesu, ataruka mashetani hadi akome...manake mashetani kiboko yao ni Jina la Yesu tu.

ya mzee wa upako, lwakatare, na kakobe mna yaaamini na hamsemi haya ila la huyu ndio mna shaka nalo ?

kuweni consistance and in balance
 
Wafalme wengi wa dunia wamepata madarakani kwa kuzini na shatani kupitia makafara/mizimu au taratibu nyingi amabazo si za kiMungu Hapa namaanisha mtu yeyote ambaye hajaokoka yaani hana YESU wala roho wala roho mtakatifu huyo anaye shetani cause there is point of neutrality.If you dont have JESUS you must have satan who is making you king/presdent.

Bwana Yesu sasa anaanza kuwafyeka wote waliopewa madaraka na shetani kupitia makafara n.k kwa ajili ya Ufalme Mungu tunaousubiri. Kwa sasa majukwaa ni ya moto mashetani yaliyo ndani ya wanadamu yanashindwa kusimama kwa sababu ya moto wa Mungu

taratibu na upupu wako, inaonyesha shule ndogo na kichwani bongo maji
 
Back
Top Bottom