Ni Nini Hasa Mwanamke Anahitaji?

Ni Nini Hasa Mwanamke Anahitaji?

Very interesting . . . . kumbe Mwanaume anaweza akatoa vyote hivi lakini bado Mwanamke asitosheke? . . . . Amazing!

Katika mahusiano ya Mwanamke na Mwanaume ili yawe ya mafanikio makubwa ni nini hasa kinampasa Mwanaume afahamu na afanye?



Utafiti mdogo unaonyesha kuwa kuna vitu vya kimsingi ambavyo wanawake wanaangalia na kama hivyo vitakosekana basi mambo huenda yasiwe mazuri katika uhusiano wenu.
  1. Mwanamke anataka awe APPRECIATED: Najua wengi watashangaa kwa nini siyo LOVE kwanza. Ukweli ni kuwa Wanaume wengi wanaweza kumwambia mwanamke I LOVE YOU lakini hawam-APPRECIATE. Kuwa appreciated ni sehemu muhimu sana ya mahusiano ambayo mwanamke anahitaji.
  2. Mwanamke anahitaji "DEEP EMOTIONAL BOND WITH A MAN". Wanawake wanataka spouse wao waelewe feelings zao na wawe concerned nazo. Na pia wanapenda kujua Spouse wao wanaf hisia zipi na wanapenda kushare hizo feelings na emotions.
  3. Mwanamke anataka Mwanaume ambaye atafeel kuwa yuko "FEMININE and SEXY". Anataka kuwa na uhakika kuwa yeye ni mwanamke bora aliyekuvutia kuliko wengine na kwa nini. So u must make it clear to her very regular. Vinginevyo anakuwa na wasiwasi. So usisangae unaulizwa mara kwa mara "hivi kwa nini unanipenda" they want an assurance.
  4. Mwanamke anataka mwanaume ambaye ni ROMANTIC. Romance ni ubunifu wa kimapenzi. Hili halielezeki, ni namna ya kuwa katika MAPENZI na FURAHA katika mahusiano. Wanawake wanataka wafanyiwe mambo mengi madogo madogo ambayo yataendelea kuwahakikishia kuwa kweli wanapendwa na wanafurahiwa.
  5. Wanawake wanataka Mwanaume ambaye yuko CONFIDENT au anayejiamini.
  6. Wanawake Wanapenda kuwa na uhakika kuwa wenzi wao ni WAAMINIFU.
  7. Mwanamke anataka Mwanaume mwenye MIPANGO inayoeleweka katika maisha na awe AMBITIOUS. Mwanaume ambaye ni MBUNIFU.
  8. Mwanamke anataka mwanaume Mkarimu na Mtoaji na si mkono wa birika. LOL.
  9. Mwanamke anataka Mwanaume ambaye hatakuwa Mwenzi wake tub ali pia RAFIKI yake.
  10. Mwanamke anapenda Kupendwa hata kama amekuboa. Anataka wakati wote atosheke Mentally; Emotionally and spiritually.
  11. Mwanamke anataka Mwanaume ambaye atampatia SECURITY na PROTECTION. That he will be there when she needs him no matter what.
Michango; maoni na criticism zinakaribishwa.
 
Very interesting . . . . kumbe Mwanaume anaweza akatoa vyote hivi lakini bado Mwanamke asitosheke? . . . . Amazing!
Mwanamke anakua amepewa "vyote" kwa vigezo vya nani?! Inawezekana mwanaume akatoa "vyote" anavyojua/weza yeye ila isiwe vyote anavyotaka/hitaji mwanamke!
 
"women always want opposite of what they possess". THREAD CLOSED.
 
Mpaka mtaalamu ambae ni mtaalamu kweli atoe konklusheni!
hivi kweli haukubaliani na konklushen yangu au uko kijinsia zaidi tu?, hii sredi ilikuwa tayari imepata heshima ya kuwa klosed na klorokwini
 
hivi kweli haukubaliani na konklushen yangu au uko kijinsia zaidi tu?, hii sredi ilikuwa tayari imepata heshima ya kuwa klosed na klorokwini
Sikubali kwasababu unajaribu kupotosha umma!Mbona mimi nataka nilicho nacho?
 
Hehehe....ntakwambia ikiwa tu utabadilisha konklusheni yako!
unajua hiyo konklushen ilitolewa UN kikao cha zarura mwaka 2008, tena ilitolewa na mdada kabsa yaani. sasa wewe unapingana na UN? huyo gadaffi wenyewe anakubali UN rezolushen. eniwei nalog out. mida za kujilusha. DJ kishoka yupo kitaa leo acha tukasweat kidogo tu kill bakteria.
 
Huyu mwanamke ana pepo si wa kawaida. Or either hampendi mumewe hata kidogo.
 
Oooops hii ni mitihani ya maisha ,hili zito nitakuja baadae na mchango wangu lakini kwa kifupi Kinguru hafugiki,Na je upande wa chumba cha mawasiliano 6 x 6 mme anajiweza ?
bado natafakari
Hata mimi mashaka yangu yapo hapo kwenye nyekundu Dada angu kama kilakitu kipo poa nini shida sasa?

Maana inaweza kua hakuna kipya ambacho hajawahikuona au kupata so inapotokea vitu au safari ndio vitumike kumfanya vim malizie hitaji lake la msingi aaaaghhhhrrrrrrr!!! its not fea bana,ninachokiona .

Jamaa kama hayuko b'ze na issue zake basi uwezo wake kwa BED sio wa kiwango stahiki ,kwa sababu hata kama anamapepo ya ngono hainiingii akilini kweli mrembo nimpelekee faru ya kufa mtu an' at same time am call m2 mwingine ?na nikigundua cpigi nae kelele nikumkandamiza tu sichomoki hapo hadi nione anakimbia na ch***p mkononi na cta mwachia hadi nione amezimia pum**b**vu zake.
Kama vp jamaa akubali tu kuonana na wataalamu wa afya wamsaidie kuweka mambo sawa.Mademu wanazimia sana mikandamizo ya ukweli sio wale wanao wagusagusa hata kama wanahela huwa inawagharimu sana aisee.
 
Oooops hii ni mitihani ya maisha ,hili zito nitakuja baadae na mchango wangu lakini kwa kifupi Kinguru hafugiki,Na je upande wa chumba cha mawasiliano 6 x 6 mme anajiweza ?
bado natafakari
Hapa kwenye red ai sapoti, unaweza kumpa kila kitu ila ukashindwa kumlidhisha kwenye 6 X 6 atatoka tu, nimeshawahi kumwona mwanamke aliye kataa kuishi na tajiri na akaenda kuolewa na maskini baada ya kumuuliza kwa nini kaamua kuolewa na maskini akajibu kuwa ameshawahi kulala na huyo tajiri zaidi ya sita lakini hakuwai kufanya nae mapenzi hata siku moja mpaka ilifika kipindi alimlazimisha tajiri alijibu amechoka. yule mwamke alisema kinachotengeza ndoa ni tendo ndoa la ukweli.
Mapenzi ya aina yote yanahitajika
 
Huyu mwanaume ana matatizo nimesoma Post yote nitakuja na comment zangu kama ifuatavyo:-
 
Kwa kifupi ni ngumu kujua binadamu anahitaji nini hasa kwa kuwa ameumbwa na tamaa isiyoridhika. Kila mtu anakuwa na agenda yake ya siri ndio maana mambo yanakuwa hayaendi kama mwingine anavyotarajia. Kitu chochote ukikipata unakuwa huhitaji tena kwa hiyo unaweka mikakati ya kutaka kingine na kuchoka kile ulichokuwa unatafuta zamani. Wanaofanikiwa katika hili ni wale wavumilivu tu na sio vinginevyo.
Ndio maana kila siku vitu vipya vinabuniwa ili watu waendelee kuvitamani na kuvifanya na hii ndio hali halisi ya dunia. Ila kama utahusisha dini basi unakuwa na uwoga fulani na inasaidia kufanya mambo yaliyo sahihi na inakusaidia kupunguza tamaa. Naomba niwasilishe hoja chambuzi kwa ujumla huu
 
Anahitaji tigo ya nguvu. Pia jaribu kumpa tofauti na maumbile natural like kugonga kwenye kitovu mpaka unakojoa
 
Jibu ni kuwa huyo mwana mama alikuwa haliwi tigo na mumewe ndo maana kawafata wanaojua kuila :focus::focus:
 
Superman,hii mada imenigusa ni hatari,haya unayoyasema nimeyashuhudia mara nyingi.Superman achana na wanawake,vichwa vyao wanavijua wenyewe.Kuna jamaa namfahamu katoka Loliondo majuzi kumpeleka mkewe,mambo yenyewe haya haya ,mara amfumanie na dereva wa nyumbani fukuza dereva,mara amfumanie na kijana mfanyakazi kwenye biashara ya mzee fukuza kazi,mradi tu vituko haviishi.Ukiangalia nyumbani mama anatimiziwa kila kitu na majuzi kwenye routine check mama kaukwaa baba ndo akamchukua wamekimbilia kwa Babu Loliondo.Sijui nisemeje yaani hatuwezi kuishi bila wanawake na kuishi nao ni misukosuko,bifu,timbwili,mawenge,yaani taaaaaaaaaabu kweli kweli,Mungu tu anajua.
Alitakiwa yeye ndio anywe dawa ya babu ili atulize mzuka wa mkewe
 
Back
Top Bottom