Mzee Mwanakijiji,
Mkuu ktk kujibu swali lako kama ndivyo imetokea, basi hapo chama kitakuwa kimekosea. Dr. Slaa ndiye anachagua team ya kampeni yake X ktk kuwania kiti cha Urais na mara nyingi chama hujihusisha na team Y ktk kampeni za Wabunge zaidi hivyo kuunganisha nguvu zote mbili inapotakiwa..
Navyojua mimi rais Mtarajiwa huachwa huru akatumia vision, ubunifu na uwezo wake wa kushawishi ktk kuongoza huku chama kikiwa nyuma yake kwa ushauri na kumpa tafu, lakini sio kumwambia afanye nini au afuate nini kwani ni sera na ilani yake aloiuza kwa wajumbe na wanachama dhidi ya viongozi wengine hivyo akaweza kuuzika ndani ya chama kuliko wengine wote na sababu hii ndiyo inayobeba nguvu yote ya uchaguzi mzima.
Kwa hiyo inategemea kama nimeelewa swali hapa. nachokataa mimi ni Dr. Slaa kuwa mwenyekiti wa chama...Kwani Obama hajawahi kuwa mwenyekiti wa chama, mwenyekiti ni Tim Kaine baada ya H. Dean mwaka 2009.