Recent content by toleka man

  1. toleka man

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini mkanyeni Makonda!!

    Embu acheni kumnyanyapaa huyu mlemavu wa akili
  2. toleka man

    JamiiForums Tanzania Clouds, Mungu anawaona kwa hiki mnachotufanyia

    Hivi mm kwa akili yangu timam nitoke hapa niende nikawasikilize mandondocha ( kama wewe mwenyewe huzion fursa hutoziona hata ukionyeshwa )
  3. toleka man

    JamiiForums Tanzania Young Dee achana na Tunda kalee mtoto wako

    Huyu dogo nilikuwa na nyimbo zake kama tano hivi na nilikua namkubali sana lakin tangu nilivyomuona yule mzaz mwenza akilalamika ( nimefuta nyimbo zote na sitakaa nimsikilize kwa us.......nge wake )
  4. toleka man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikikumbuka kisa hiki, natoa saluti kwa mapenzi

    Nimekosa mda wa kusoma hii hadith ndefu sana ( KAMA TAMTHILIA )
  5. toleka man

    JamiiForums Tanzania Diamond ft Neyo "marry You" yashika namba 2 UK, aweka Record

    Huyo ndo SIMBAAAAA !!! ( hivyo ndivyo inavyotakiwa mziki wa vijembe na majungu umepitwa na wakat ' unamchukia mtu huku mwezako anapiga hatua AMKENI MDA NDO HUU FANYEN KAZI KWA MIPANGO )
  6. toleka man

    JamiiForums Tanzania MAAJABU mambo 6 ya kufahamu kuhusu sayari ya Venus iliyopo karibu na dunia

    Ingekuwa rahaa sana
  7. toleka man

    JamiiForums Tanzania Wazima humu

    Karibu ndan vua viatu
  8. toleka man

    JamiiForums Tanzania TANGAZO: Mkutano mkuu wa wazi wa CHADEMA hapa JamiiForums

    We nawe acha kusifia ujinga !!
  9. toleka man

    JamiiForums Tanzania TANGAZO: Mkutano mkuu wa wazi wa CHADEMA hapa JamiiForums

    Haya ndugu zangu tulongeeee
  10. toleka man

    JamiiForums Tanzania TANGAZO: Mkutano mkuu wa wazi wa CHADEMA hapa JamiiForums

    Mwanachama mkuda nimeshafika
  11. toleka man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wako wapi wanawake wa aina hii siku hizi?

    Mhh! Labda nimzae mwenyewe halafu na nimuoe mwenyewe ndo atanifanyia hayo
  12. toleka man

    JamiiForums Tanzania Ester Bulaya amshinda Stephen Wassira kwenye Rufaa kesi ya Ubunge

    Mbona povu linakutoka vepee ?
  13. toleka man

    JamiiForums Tanzania Salam na Msaada

    Karibu ndugu
  14. toleka man

    JamiiForums Tanzania Mtu wa kuchat nae WhatsApp (mwanamke)

    Watu wengine bana mh!!!
  15. toleka man

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la Ardhi Bukoba: Rais aahirisha kwenda Zambia, kuwakilishwa na Makamu wa Rais

    Du yule mamvi anatisha ( mtu kakalia kit cha urais lakin bado ajiamini )
Back
Top Bottom