Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,120
- 4,788
Heheheh nakuja
Changamkia fursa hiyo bibie. Hutaki sms zako zipande ndege.?

Heheheh nakuja

Leo mmeumbuka,Ahahahahahahh
Ndo kwaanza wanamuuliza nje sehemu gani,
hahaha
Yea si unaona ni totoz mbichii kabisa
I am an 18 year old Tanzanian boy studying abroad looking for someone to chat with on WhatsApp. I'm fluent in both English and swahili. I just want to chat on WhatsApp. Inbox me your number
Amesema kwa kiinglishi hapo juu!!!Ujasema ni jinsia gan ebu tuambie kwanza tujue km ni mwanamk au mwanaume
nje wapi?

Yea si unaona ni totoz mbichii kabisa
Watu wameskia jamaa yuko nje hata umri hawana shida nao, lakini angekuwa Tz ungeskia ''mmeshafunga shule''

Leo mmeumbuka,
Naona kimya.
hapo kibarazaninje wapi?
Bora nimekuona,nilikua natafuta wakuwasapika nae
Watu full kujitoa Muhanga,Yaani dogo kawazidi akili aisee. Hahahahaaa. One word tuu (Nipo Nje), limebadilisha uelekeo wa thread. Hii kama ingekuwa katika soka tungeita super sub. ahahaaahaha
UK mji gani?