Mh wewe utafanyaje? Maana naogopa [emoji134] [emoji134] [emoji134]pole sana jamani si ungekuja kwangu sasa
Looh! Tanga hii hii ama? Ya mdigo na Mbondei ?? Tanga njooni ila hayo makabila mawili mkifika muwe makini nayoMbona my wife ndio tabia zake hizo!!akiwa mjzito ndio tatizo,ila siku ukisema hata unasafiri utamuonea huruma,kama safar sio muhimu sana waweza ahirisha,samahan ndio silaha yake kuu,ananipenda sana ofcourse,sijawahi kufikiria kumcheat wife,njooni Tanga nawashauri.
Mmmh.walizolewa na kimbunga cha analojia
Ooh, basi nakuja kwa haraka.mi ntakujali na kukusikiliza sitataka uumizwe
Tupo tumejaa,sio lazima tujioneshe!HIVI WAPO WAPI SIKU HIZI WANAWAKE WENYE SIFA HIZI?
.
.
1.Anaekuomba msamaha
wakati hajakufanyia chochote kibaya.
.
.
2.Yule anaelia sababu
anakupenda au kukukumbuka.
.
.
3. Anaejaribu kukurudisha
wakati mlisha achana.
.
.
4.Hata umuumize kiasi gani,bado
atakuambia anakupenda na kukufanyia yote
utakayo.
.
.
5.Anaeacha kurumbana na wewe ili kuunusuruuhusiano wake.
.
.
6.Anaefanya ujisikie wewe ni wa pekee kwake, na kujaribu kukupa furaha.
.
.
7.Pale anapojisikia vibaya lakini
hawezi kukwambia baada ya wewe kuhaibika.
.
.
8.Anaetaka kukuacha sababu ya
ukorofi au tabia nyingine kama nizo,lakini hakuachi.
.
.
9.Anaesema anakupenda au
kukumbatia mbele za watu bila kujali macho yao.
.
.
10.Anaekuwa karibu na wewe zaidi wakati wa matatizo.
.
.
11.Anaetoa tabasamu lake halisi kila akuonapo au kusikia sauti yako.
.
.
KAMA YUPO MTAANI KWENU NIITE NIJE NIWATEMBELEE.
Kujua kuandika ni nature yako mkuu??unajtahd kumbe m nlijua nature inanacha
[emoji3][emoji3][emoji3]Wapo wengi. Ila mwisho wa kuzaliwa kwao ilikuwa kati ya 1969-1973
Hao ndio wengi,hata umlambe miguu,na ukikuta mwanamke yuko humble basi anapata janadume la hovyo hatari,ambalo halijui hata thamani ya mwanamke.And u may get surprised mwanaume anafanyiwa vyote hivyo lakini mwanamke anaisoma namba
Umeona eeehh tena anaisoma namba kikubwa sio kitotoAnd u may get surprised mwanaume anafanyiwa vyote hivyo lakini mwanamke anaisoma namba