Kila nikikumbuka kisa hiki, natoa saluti kwa mapenzi

Pole sana kaka yaan nmecheka sana ama kweki ujana Maji ya moto. Hiyo trick mbaya inaweza kukufanya ufe kimzaa mzaa

Na tangu hapo nilikoma,

Mpaka naamua kuandika kisa hiki, kunamsala mmoja umetokea pale home na kunikumbusha mbali sana...

Ma-house girl wamebeba vitu vingi sana!.
 
Back
Top Bottom