Mimi muda mwingine huwa nafikiri elimu bado ni tatizo KWA watu wengi Tanzania NA hili linawanufaisha sana watawala KWA maana hufanya mambo kuziteka hisia za watu KWA maana akili zao zimetawaliwa NA hisia zao.....
Hivi inawezekanaje viongozi wakubwa wakachukua maamuzi makubwa ambayo hata MTU...
Kitu ambacho siwaelewi ni kuwa research zao wanazifanyia wapi NA je wasomi wanatumika ipasavyo au ni maamuzi ya kikundi cha watu wachache wanaoendeshwa na hisia zao (mantainance of popurarilty)...
Binafsi yangu nilijua tu lazma washindwe kwa kuwa stock za sukari za wauzaji zilinunuliwa kwa bei...
Ukiwauliza wazee wa zamani watashindwa hata kuelewa gap gani linalokufanya utie hofu (NA hiyo ni kwa mama zetu waliojitunza NA sio hao inaowahofia umri na ukute anaemtia kiburi mjini ana umri sawa NA baba yako)...
Normal sana NA hiyo ni chachu ya heshima maana kwa ndoa nyingi za siku hizi,watu...
Kukaa dar kwa mwezi mmoja ni tabu.......
Dar ni oven ya taifa, foleni ,vurugu NA fujo za watu ; vyote vinakera.......
Ntakuja batani NA kuwaona ndugu zangu "MKOANI KAMA MNAVYOPAITA ,SIHAMI"
Wanaume halisi hutokea Mara nyingi kwa wanawake halisi na ndio maana usishangae mwanaume kuwa na utambulisho tofauti katika wanawake.........
Utakuta mtu fake kuanzia ngozi (kaichubua), kucha (kaweka za bandia kama nsyuka) , nywele kama kiota cha ndege , marangi ya ajabu usoni na poda kama...
Daahhhh jf ni noma yaani haujamkopesha ni kavu live...nimecheka peke angu usiku huu maana hizi kauli uswazi wanazitoa vijeba waliozindikwa (Kwa maana anaiweza league)...
Lakini Mada za huyu jamaa zinamuonesha kama mtu anaevifanya na si anaehadithiwa au kuskiza story za vijiweni...... MUNGU NA...
Sio rahisi mtu kutoka katika lugha ya kisukuma - kiswahili - kiingereza halafu mtegemee mtu kuwa mahiri katika lugha zote sawia ...
Kama magufuli angekuwa anaiongoza uingereza alafu haijui kiingereza ndo ningeshangaa lakini kama ni Tanzania ambayo ni nchi ya wazungumzaji wa kiswahili inaleta...
The truth must be told.......Kenya kwa kuwa na less resources compared to us, higher uses of English language and early adoption of capitalism imewafanya muwe vizuri katika marketing and hospitality industry mapema...
Mnaziona fursa NA kuzitumia vyema (hii ni matter of survival and I can't...
Mwanamke ni binadamu hivyo, ana hadhi kuliko kitu chochote ambacho mwanaume anaweza kukitafuta ama kukitengeneza lakini tatizo ni kuwa kiumbe huyu haitambui thamani yake maana amejiweka cheap kuliko vitu ambavyo tunavitafuta.......
Hamna anachostahiki dhaidi ya kudharaulika na usidhani kama...
Samahani bro...kwa imani yangu
"hakuna mwanadamu ambaye ametukuka hadi aitwe mtakatifu kwa maana hata mapapa wengine hawajatakatifuzwa, yapaswa ufe kwanza ndio utakatifuzwe na hili si jambo do go,rejea kwa nyerere " hivyo haupaswi kujiita mtakatifu kabisa.......
Kwa kweli uchezaji mwingine...
Dahhhhh Mara nyingi sana na siwezi kuhesabu.....
Nimeanza kuwaza hivyo toka nilipoanza kujitambua kwa sababu familia yangu haikuwahi kunipa pumzisho LA nafsi..nilikuwa mgonjwa kimaumbile ila wao wakanipa na wa kisaikolojia.I felt unwanted na nilikuwa stressed kwa maana nilitengwa na jamii yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.