Yani ndugu upo moyoni mwangu,yani raha ya dar uwe unakaa pembezoni ya mji ambako hakujajengeka kiholela kuna miti kidogo,si tuliamia mbagala kukiwa bado hakujajaa kama sasa ilikua raha kama tupo kibaha now ni hatari,maadili hakuna,maradhi yameivaa takribani kila familia,hakuna miti ya vivuli kama zamani yani ghasia tu.Mi ni wa Dar ila nimepachoka, NAFIKIRI raha ya Dar ni uwe unakaa mkoani alafu una uwezo wa kuja Dar muda wowote ukijisikia ndo raha! Dar kero! Uzuri wa Dar ni upatikanaji wa kila kitu kwa urahisi.
Au raha ya Dar ni uwe unaishi nje kabisa ya Dar, Madale, kongowe, Chanika, yaani nje kabisa!

Hizi ndo kero kuu! Foleni inakufanya utumie masaa karibu 5 kwa siku barabarani, alafu joto!Mi Dar hapana lile joto ,Ac nayo inaniumiza ,foleni sasa jamani
Kweli kbs. Nilizaliwa Dar, kino. Nikakulia pale. Ajira ya Kwanza tu mkoani. Nikahisi kufakufa Ila Nikaenda. Naamka saa moja na saa mbili niko ofcn. Nikifikiria zoezi la kuamka saa 11 alfajiri ili kuwahi ofcn huwa nachoka kbs na Dar. Nimebaki wa kwenda kusalimia tu.Ukiweza kukaa nje ya Dar kwa mwaka mmoja tu, hutotamani kukaa
Naona unatafuta vita na watu wa mikoani......Naipenda mpaka inakera, nikitoka nje ya Dar mwisho wiki mbili tu naanza kuimisi Dar yangu, na kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo inavyozidi kujidhihirisha kwamba siwezi kuishi sehemu nyingine isipokuwa Dar!
Hivi Ulisha jaribu kwenda mabwe ukaona kulivyo kuzuri lkn?,au unaongea tu!.Anakaa Mabwepande halafu anasema anakaa Dar...aaah aaah!
DuhSijui na sie tunaoishi new york tusemeje!
Wakuja utawajua tu.....siku mkirudi makwenu mnaona wote maf.ala wakati hakuna maisha mnayotengeneza zaidi yao. Kumudu mafuta ya gari tu mnahangaika ni vi Vitz eti mko Dar wakati mikoani huku watu tunakula maisha na 4WD..nyumba ya laki 3 ya maana wakati huko ni banda la uani halafu mnadhan mnamaisha hukoWatu wamikoani msisahau kulima 24hrs mko jf mjue tunawategemea sana huku mjini.
Dar sihami
Wewe mgogo unasema Dar yako wazaramo waseme nini sasa.Naipenda mpaka inakera, nikitoka nje ya Dar mwisho wiki mbili tu naanza kuimisi Dar yangu, na kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo inavyozidi kujidhihirisha kwamba siwezi kuishi sehemu nyingine isipokuwa Dar!