Tofauti kati ya mwanaume na mvulana

Tofauti kati ya mwanaume na mvulana

Wanaume halisi hutokea Mara nyingi kwa wanawake halisi na ndio maana usishangae mwanaume kuwa na utambulisho tofauti katika wanawake.........

Utakuta mtu fake kuanzia ngozi (kaichubua), kucha (kaweka za bandia kama nsyuka) , nywele kama kiota cha ndege , marangi ya ajabu usoni na poda kama kapimiwa kwenye mzani
AF anakuambia "MEN AREN'T REAL".........suit yourself
 
Na baaada ya kufanikiwa kiuchumi tufanyeje sasa kama sio kuwatafuna?? Maana utakuta waschana na wanawake wenye ndoa zao wanatuzingira
 
Wanaume halisi hutokea Mara nyingi kwa wanawake halisi na ndio maana usishangae mwanaume kuwa na utambulisho tofauti katika wanawake.........

Utakuta mtu fake kuanzia ngozi (kaichubua), kucha (kaweka za bandia kama nsyuka) , nywele kama kiota cha ndege , marangi ya ajabu usoni na poda kama kapimiwa kwenye mzani
AF anakuambia "MEN AREN'T REAL".........suit yourself
Teh alafu ndio wakwanza kulalamikia wanaume wakati wao wenyewe ni tatizo....mwanamke halisi anapata mwanaume halisi,

Ashakum..... ''Paka shume'' unataka mwanaume halisi ili iweje? Unawaza kuchuna pesa, kufake life ili.....

Ukiona mwwnamke halisi kapata mvulana Basi ujue Bahati mbaya...a change karata vizuri...
 
Hujawaambia mwanaume wa kweli
1.Hapiganii likes za Instagram
2.Haombi watu wamfollow snapchat
3.Habadili dp ya WhatsApp kila siku
 
Ni pale unapogundua sifa zoote za wavulana zilizotajwa unazo alafu unajiita mwanaume, job true true.
Hivi Unatujua binadamu tunavyojiona wakamilifu, ukute yeye anaona wenzie ndo wavulana afu yeye ndo mwanaume peke yake teh
 
Back
Top Bottom