Anga limechafuka

Anga limechafuka

Kipindi hichi kigumu sana,ngoja tusubir ya Tanga na Handeni.tuletee tu Mshana tujue Nchi iko wapi ss
 
73e490198ef2c5368cb76c1f6d8d4e0e.jpg
Ni kitu cha kushangaza mno lakini kwa sasa anga halifai, watu wanapishana angani ardhini na majini...!ni kutafuta kinga na ulinzi wasitumbuliwe majipu mali zao zisifilisiwe wala wasikamatwe na kushtakiwa
Kama kuna wakati waganga wa kienyeji wanapiga pesa ni sasa viunga vyao vimesheheni wageni
Hali ni mbaya kuliko inavyodhaniwa
Hahaha mshana Jr. Hii ni ukweli mtupu
 
mchawi mkubwa wewe.

swissme

Daahhhh jf ni noma yaani haujamkopesha ni kavu live...nimecheka peke angu usiku huu maana hizi kauli uswazi wanazitoa vijeba waliozindikwa (Kwa maana anaiweza league)...

Lakini Mada za huyu jamaa zinamuonesha kama mtu anaevifanya na si anaehadithiwa au kuskiza story za vijiweni...... MUNGU NA WASTAARABU, SHETANI NA WAHUNI
 
huyu jamaa sometime i think its true what he right here and his doing that its not story.

swissme
 
Kaka mshana wengine walengeshe kwangu nishawatengeneza watatu mpaka sasa wako full guard hawaguswi hao 🙂
 
Mshana jr kwa mwendo huu...itakaa ule mema ya nchi..Punguza haya mambo bhana
 
Huku makazini ni hatari atiiii! Watu walozi vibaya sana...... Mtu anakula pesa ya serikali na anasahaulika hadaiwi, hatari sana
 
Back
Top Bottom