Gpa ya 5 ya udom,saut,mzumbe na uchafu mwingine wa aina hyo ni sawa na Gpa ya 2.0 ya udsm.asa ni jishangae wewe unaesema cjui mshkaji wako aliachwa,hayo mengne ni changamoto za maisha tu.
Mkuu nadhani hakuna ulazima wa serikali kuingilia majukumu ya kununua vitabu vya maktaba wakati chuo kinaingiza mabilioni ya fedha kila mwaka,
Chuo kinaweza tumia hizi pesa Ku upgrade miundombinu yake,
Ukiangalia kwenye ranks udsm inalinganishwa na vyuo bora kabisa Africa kama university of cape town na u university of KwaZulu Natal ambavyo vina miundombinu ya kisasa mno, kiukweli udsm inatuaibisha,
Walimu wa udsm ukiwaskia wanajisifu madarasani utadhani ni kina newton wakati miongoni mwao ndio wanagawa marks kwa penzi na wengine wanashika wanafunzi coz of chuki binafsi,
Udsm inahitaji flexibility,
Udsm inahitaji Ku upgrade miundombinu yake,
Udsm inahitaji kutoa elimu bora, fair education..
Nafikiri kuna haja ya kuwalipa vizuri pia walimu wake ili wafocus kudeliver material kwa wanafunzi badala ya kuwa busy na miradi yao kama chuo cha ardhi..
Waige mfano wa college ya Informatics ya udom.
Mkuu nadhani hakuna ulazima wa serikali kuingilia majukumu ya kununua vitabu vya maktaba wakati chuo kinaingiza mabilioni ya fedha kila mwaka,
Chuo kinaweza tumia hizi pesa Ku upgrade miundombinu yake,
Ukiangalia kwenye ranks udsm inalinganishwa na vyuo bora kabisa Africa kama university of cape town na u university of KwaZulu Natal ambavyo vina miundombinu ya kisasa mno, kiukweli udsm inatuaibisha,
Walimu wa udsm ukiwaskia wanajisifu madarasani utadhani ni kina newton wakati miongoni mwao ndio wanagawa marks kwa penzi na wengine wanashika wanafunzi coz of chuki binafsi,
Udsm inahitaji flexibility,
Udsm inahitaji Ku upgrade miundombinu yake,
Udsm inahitaji kutoa elimu bora, fair education..
Nafikiri kuna haja ya kuwalipa vizuri pia walimu wake ili wafocus kudeliver material kwa wanafunzi badala ya kuwa busy na miradi yao kama chuo cha ardhi..
Waige mfano wa college ya Informatics ya udom.
ulikuwa huendi kwenye hivyo vyoo sasa umejuaje kuwa ukiachia mzigo unaruka juu kidogo...sasa la kukariri si ndo ulikuwa uwezo wako!!!Mimi pale hall 1 ilikuwa siendi kwenye vile vyoo, ni shida yaani unaachia mzigo then unaruka juu kdg ili maji yasikurukie. Halafu nilikuwa nakariri ili nisifeli
UDSM ni jipu na lisipo angaliwa litapasuka lenyewe . Sijui kama kuna utawala wenye dhamira ya kweli ya kuiletea Tanzania maendeleo au kuna wapiga pesa wanao furahia kutumia VX , V8 na kuchupokea mshahara kila mwezi. Hadhi ya chuo haifanani na mazingira halisi yaliyopo, sijui watu wanasomaje hapo udsm.
Mfano
Ivi udsm pamoja na kuwa chuo cha kwanza kufundisha computer science hapa nchini, kwanini imeshindwa kuwa na website inayo lingana na hadhi yake. Website haina content, ipo offline most of the time, content zake nyingi ni static, poor design etc
Nikiangalia vyuo vya level yako kama Nairobi, Makerere etc vina website nzuri zimeshiba information. Labda wahusika kama wapo hapa watwambie shida ipo wapi?
Mfano kwa muda wa wiki 3 sasa website haipo hewani, ivi wahusika wanalionaje hilo kwa nyakati za leo ambazo information ndio mtaji wa biashara huwezi kaa gizani na ukajisikia vizuri, Mnajua mmepoteza fedha kiasi gani kwa kukaa offline?
Inavyo onekana udsm ni chuo ambacho kipo static sana. hakibadiliki, hakitaki mambo mapya, sijui ni uzee wa staff au ukiritimba usio na maana. oneni wenzenu wa nairobi na makerere mambo yao yapo so dynamic hata machango wao ktk jamii unaonekana mfano mzuri ni basi linalo tumia jua lililo zinduliwa juzi.
UDSM ukiacha kuandaa wana siasa (jipu) ambao ndio wamelipoteza taifa hili na bara la africa, hakuna kitu cha maana kilicho fanyika ktk maeneo mengine. Miaka yote wasomi wamekaa hapo udsm nadhani kazi kubwa ni kupokea mishahara, matokeo ya research yapo wapi?
Chuo kimepoteza mvuto kabisa, zamani kilikua chuo pendwa africa, watu walijisikia uoendeleo kusoma udsm, leo wanaunzi wangapi toka nje wanasoma hapo udsm na hao waliopo wanajisikiaje?
Ukiangalia vyuo vya jirani zetu tuu hapo karibu wapo vizuri na wamejipanga, kozi zao wanaenda na wakati na kozi zinazo endana na soko la ajira. udsm kozi zilezile miaka nenda rudi, hii ni shida. Madudu ya chuo hiki ni mengi huwezi kuyamakiza kwa siku moja.
Binafsi wahusika wachukue hatua, udsm ni chuo chenye hadhi na kinachukua sura ya taifa letu.
Ipo siku nafasi hii itachukuliwa na chuo kingine kwa uzembe kama huu
tabutupu.
point sanaKwa chuo kikubwa kama UDSM n.k. kuendelea kuitegemea Serikali Kuu kufanya renovation kwenye vyoo ni utahira wa kiwango cha PhD.
Kama ningekuwa VC ningefanya yafuatayo badala ya kuendelea kusubir fedha za kukarabati vyoo zitoke hazina kuu.
1. Kutumia rasilimali zilizopo vizuri na kwa weledi. Kwa mapato yote ya ndani ningetenga asilimia kadhaa kukarabati miundo mbinu ya umuhimu kama vyoo, lecture halls, barabara na kuhakikisha mawasiliano ndani ya chuo yanakuwepo muda wote.
2. Alumni Mobilization
Chuo kama UD kina alumni all over the world. Na kuna ambao wapo tayari kukisupport chuo kisongembele. Ningehakikisha wote waliosoma UD wanakuwa na platform ya pamoja na kuanzisha mfuko maalumu wa maendeleo ya UD.
3. Matumizi yenye Nidhamu
Haingii akilini chuo kinakuwa na V8s ambazo ni gharama kuzinunua na kuziendesha halafu unakuta wanafunzi wanategemea kwenda msalani mcity. Ningebana matumizi na kufuta matumiz yasio ya lazima ili kinachobaki kikaboreshe UD kwa faida ya wengi.
4. Bulk Purchasing
Kwa mafuta ya magari, stationaries, na vitu muhimu vinavyotumika chuoni kila siku. Hii itasaidia kusave kwenye manunuzi.
Me naamini kabisa kwa hivi vyuo vyetu vikubwa vikiamua kujiendesha venyewe vinaweza kabisa. Vina Rasilimali (Watu & Asset) nyingi sana.
Uwezo Vinao, Sababu Vinayo, Nia_________
Mkuu hujaelewa bado, hapa tunazungumzia udsm,Udsm mambo mazuri uozo upo Institute of Adult education mtu anasaini boom anakaa wiki mwezi na pesa ilishaingia account ya chuo
Mkuu nimekuelewa vizuri sana, umefafanua vizuri, natumaini hata wale professors wa udsm watajitoa viburi japo wafanyie kazi haya mawazo yako so long as naamini wanapitia humu,Nakubalina na wewe kuwa UDSM ina tatizo kubwa la kutosimamia maprofesa wake. Kuna maprofesa hawawajali kabisa wanafunzi wao. Hawaingii darasani kufundisha, ambayo ni kazi waliyoomba na kuajiriwa. Tatizo siyo mishahara tu bali nadhani ni tabia iliyoendekezwa. Ni kama wizi an rushwa, wenye mishahara mikubwa ndiyo wanaofanya zaidi.
Masuala la ngono, wanafunzi kuonewa nk yanasikika kwenye vyuo vingi duniani. Hata hivyo nijuavyo mimi ni vigumu sana mwanafunzi wa kike kufaulu Chuo Kikuu kwa kutumia ngono tu, la sivyo atatoka amechakaa kwelikweli maana atakutana na walimu wengi sana.
Sijui waige kitu gani kutoka kwenye hiyo College of Informatics UDom. Hujafafanua kile ambacho hiyo College imefanya ambacho ni cha kuiga.
Ukweli ni kuwa elimu ya chuo kikuu ni aghali sana popote duniani hasa pale hiyo elimu inapotakiwa kukidhi viwango fulani.
Kwa Tanzania bado ni jukumu la serikali kugharimia elimu ya Chuo Kikuu. Vyuo kama Cape Town, Pretoria, n.k. vinapewa pesa nyingi sana na serikali yao na bado wanafunzi wanalipa ada kubwa sana ukilinganisha na wanafunzi wa Tanzania.
Siyo rahisi hata kidogo kwa vyuo vya Tanzania kama UDSM kujitegemea. Ikumbukwe kuwa miuondo mbinu iliyopo kama vitabu vya maktaba, barabara, na majengo vina gharama kubwa.
Pamoja na haya yote nadhani bado kuna sababu ya Viongozi wa UDSM kuonyesha ubunifu wao katika kutatua matatizo ya chuo chao. Kwa nini mpaka leo wakuu wa vitivo/Shule wapewe usafiri wa VX na dereva? Kweli chuuo kinashindwa kujenga vyoo na kuvisimamia? Watasingizia ukosefu wa maji. Kweli chuo kinashindwa kuchimba kisima kirefu na kupata maji angalau yatumike chooni tu?
Ulijuaje kwamba alifunika? Unazijua interview za udsm?we acha tu,kuna jamaa angu aliachwa hivihivi kwenye u tutorial asistance kisa katoka udom japo alifunika kwenye usaili kuliko udsm leavers wote
Shikamoo Mzee Wa udsm. Kwenye swala LA GPA hapo ndipo heshima IPO.....Gpa ya 5 ya udom,saut,mzumbe na uchafu mwingine wa aina hyo ni sawa na Gpa ya 2.0 ya udsm.asa ni jishangae wewe unaesema cjui mshkaji wako aliachwa,hayo mengne ni changamoto za maisha tu.
Huyo faiza hana Haata elimu ya kidato cha sita zaidi ya kutetea ujinga Wa pale Lumumba... Hakuwa na vigezo vya kusoma udsmUnaongea pasipo kufikiri! UDSM bado tupo na excellence kama kawaida, nadhani cha msimgi ni maboresho zaidi
Huyo hawajui UDSM leavers!
Unaogopa nini andika tujue unamaana gani halafu nyie ndo wataalamu wa kubebana matokeo yakeHalafu we
wewe Faiza unaonekana unahasira sana na UDSM! sisi bado tupo na excellence is maintained.Sidhani kama ulisoma au unasoma UDSM!
Sijui kwanini watu Wa udom manaonea wivu saana udsm? Na chuki......Acha kuongea upupu wewe....nmesoma udom 1st degree nkasoma udsm post graduate...nlichojifunza udsm mnakalili sana...yan ww kalili tu haijarish umeelewa au lah...tena mitihan mnarudia ..kuanzia test had Ue ..yan kama ilivyo wanachange date tu
Ukweli udsm jina tu...but hakuna lolote
nmesoma hapo nmepata gpa/grades ambazo sijawah pata maishan...
Watu muwe na logic...afu uwez dharau chuo flan wakati huna hata experience umesoma chuo kimoja tu unaamin ndo iko iko bora..
Wanafunzi wa udsm sifa nying..
Lugha sio kipimo cha usomi....kuna maprofesa wengi hawana ile fluently English. Unadhan pale ni English medium school ?kinachoshangaza pamoja na mambo mengine ni jinsi wahitimu wa udsm wa phd, masters, n.k. wasivyoweza kuongea au kuandika kiingereza kilichonyooka (...mfano, reajea ile horror show majuzi kule arusha).