MAISHA: Umewahi fikiria kujiua? Nini kilikuzuia?

Daaah sijawahi kufikiria aisee namuomba Mungu hilo janga liniepuke
 
Nimekutana na uzi huu nikaona kabisa ni mimi naguswa. Nafikiria kujiua nina 25 yrs nimeolewa sina hata miez sita ila ninayoyapitia sijui tu natamani kujiua ila nikimfikiria baba na mama yangu wanavyonipenda nashidwa kbs kwani sijui mama atakuwa na hali gani kwa namna anavyonipenda.naandika haya machozi yakiwa yananitoka.namuhitaji MUNGU KWA KWELI.
 
Dahhhhh Mara nyingi sana na siwezi kuhesabu.....
Nimeanza kuwaza hivyo toka nilipoanza kujitambua kwa sababu familia yangu haikuwahi kunipa pumzisho LA nafsi..nilikuwa mgonjwa kimaumbile ila wao wakanipa na wa kisaikolojia.I felt unwanted na nilikuwa stressed kwa maana nilitengwa na jamii yangu pia hasa kwa wasio waelewa.hata mzazi wangu alinikana na mbaya zaidi kuweka uzio baina yangu na ndugu zangu.......niliishi katika dunia yangu na marafiki zangu wachache ndo walinifanya niishi kiasi....

Ni historia ndefu sana ambayo siwezi kuimaliza lakini imenijenga na kutambua umuhimu wangu kwa watu wengine na kutambua zaidi purpose of my life..ingawa past hii huniwinda lakini sichoki kupigana nayo ili niwe na sababu zaid za kuish...
MUNGU ANATOSHA
 
Nimekutana na uzi huu nikaona kabisa ni mimi naguswa. Nafikiria kujiua nina 25 yrs nimeolewa sina hata miez sita ila ninayoyapitia sijui tu natamani kujiua ila nikimfikiria baba na mama yangu wanavyonipenda nashidwa kbs kwani sijui mama atakuwa na hali gani kwa namna anavyonipenda.naandika haya machozi yakiwa yananitoka.namuhitaji MUNGU KWA KWELI.
Bado upo ktk ndoa au ushapiga chini??
 
Nimekutana na uzi huu nikaona kabisa ni mimi naguswa. Nafikiria kujiua nina 25 yrs nimeolewa sina hata miez sita ila ninayoyapitia sijui tu natamani kujiua ila nikimfikiria baba na mama yangu wanavyonipenda nashidwa kbs kwani sijui mama atakuwa na hali gani kwa namna anavyonipenda.naandika haya machozi yakiwa yananitoka.namuhitaji MUNGU KWA KWELI.
Umeolewa???

Then u mwenye bahati kuliko wengi sana, I dont know you case but kubwa:

  • Jipe moyo na angalia mbali zaidi, ndoa ni ngumu sana na kumbuka everyone is under silence battle, jipe moyo
  • Tafuta shughuli ya kuku keep very busy na zaidi pambana kutafuta vya kwako, jifunze kuwa mbinafsi kidogo
  • Mwisho tafuta hela, nilichogundua, changamoto nyingi sana husababishwa na upungufu wa hela
  • Tumaini lako liweke kwa MUNGU baba muweza wa yote, hakuna jambo lisilo na mwisho

Pole sana kwa yote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom