Recent content by TNA

  1. TNA

    JamiiForums Tanzania Yeboyebo hizi mnzosuka hizi!

    Hahah na usiombee umkute wamemzunguka kichwa kimefichwa na mapaja yao..
  2. TNA

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani bibi harusi anatafutwa

    Na ukisha sign hicho cheti cha ndoa na akaendelea kukuforce uwe nae kama mumeo utafanyaje?au unampenda?
  3. TNA

    JamiiForums Tanzania Udom,tumefiwa,

    MKUU mnaagia wapi chimwaga ama?
  4. TNA

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili UDOM tarehe 15-16/10/2011

    Angalieni kwenye website ya UDOM majina yapo ni The University Of Dodoma
  5. TNA

    JamiiForums Tanzania Tukumbushie kidogo misosi ya kwetu

    Hivi ni kiipwi au khipwi?
  6. TNA

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta mume wa kuishi na kufunga nae ndoa

    sio wote wanapenda zinaa ,Mungu hashindwi na chochote ukimuomba kwa kumaanisha hukujibu sawasawa na mapenzi yake.
  7. TNA

    JamiiForums Tanzania Tanzania migration Department

    unaweza kutafuta msaada zaidi at training@immigration.go.tz
  8. TNA

    JamiiForums Tanzania I need sm1 in mylife

    vigezo tafadhali:majani7:
  9. TNA

    JamiiForums Tanzania JF Morogoro MPOOOO?

    mmh,jamani au mimi sijaelewa mada..chai ya jioni ???
  10. TNA

    JamiiForums Tanzania JF Morogoro MPOOOO?

    jaribu kutembelea beach restaurant na TOPLIFE HOTEL ipo karibu na round about ya SUA..ziko moro town.
  11. TNA

    JamiiForums Tanzania Model eggy.........mtoto kahumbika

    dah kweli bwana kaHUmbika...lol
  12. TNA

    JamiiForums Tanzania soma unisaidie (vichwa tuu)

    MZALENDO WA KWELI HUBORESHA MAISHA YAKE NA YA JAMII,LIPA KODI UBORESHE HUDUMA ZA JAMII .,hapo vipi...:peace:
  13. TNA

    JamiiForums Tanzania Humu ndani!

    hivi mgeni si unaweza kumkaribisha mgeni mwenzio?...karibuuu pita mpaka ndaniii....
  14. TNA

    JamiiForums Tanzania Im in love with FF

    hahahah duh...kazi kweli kweli
Back
Top Bottom