JF Morogoro MPOOOO?

TMK DAR

Member
Jul 27, 2011
46
11
Wakuu salaam,
Naomba kujua ni wapi Morogoro naweza kupata chakula safi na chai ya jioni safi-gharama sio shida
Niko Morogoro na nitakuwa hapa kwa siku 7.
Ningefurahi kama ni sehemu karibu na mjini.
Natanguliza shukurani.
TMK
 
mahali ulipokosea ni hapo nilipoweka blue......hebu badili kinywaji uone thread itakavyochangamka....
 
Jaribu kutembelea Ze Club au 4 star, kuna mademu wa SUA na Mzumbe unaweza kung'oa hata kwa 1,000 tu.
 
Jaribu kutembelea Ze Club au 4 star, kuna mademu wa SUA na Mzumbe unaweza kung'oa hata kwa 1,000 tu.

Nikitoka Igunga na jamaa zangu kutoka Ulaya wale waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa tapita hapo Morogoro tutumie pesa za UN kidogo
 
usiache kwenda sehemu moja inaitwa Morning site. ni sehemu nzuri sana.
 
Usisahau kuwaleta hapa kaloreni pia chamwino kwa mkude kuna mambo yetu yale udrink kujirusha nenda kahumba nite park
 
Usisahau kuwaleta hapa kaloreni pia chamwino kwa mkude kuna mambo yetu yale udrink kujirusha nenda kahumba nite park
 
Pita maeneo ya Draigonea njia ya Bigwa. Ukitaka malaya nenda Kahumba.
 
Jaribu kutembelea Ze Club au 4 star, kuna mademu wa SUA na Mzumbe unaweza kung'oa hata kwa 1,000 tu.

Mafuska utawajua tu! Nilidhani ni katibu wako wa chama pekeyake, kumbe hata wanachama!? Wakati katibu anatembea na wake za wanachama wake, nyie mnatuharibia wanafunzi wa vyuo!

Shame on you!
 
Hii mpya sija wahi kusikia,mgeni ana kuja kutembelea unamuonyesha chumba anacho lala binti ako. Jaribu kujitambua kabla ya kuchangia mada husika.
 
mzee kaumba night klabu wanaenda walalaho manake kule jero,buku unangoa, mi nakushauri uende Oasis ama Hilux, hope utainjoi vibaya,na kama unatumia mdudu/ mnyama nenda sarvoy ipo ya kuchoma swaaaaaafi kabisa.
 
Mkuu hata usipokuwa nao,ni pm nilizonazo siwezi kuzimaliza,nimestaafu juzi x 2,

Nikitoka Igunga na jamaa zangu kutoka Ulaya wale waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa tapita hapo Morogoro tutumie pesa za UN kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom