Tanzania migration Department

king'amuzi

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
615
225
wadau naomba msaada kwa anayejua taratibu za kujiunga na mafunzo ya uhamiaji, na ni muda gani wana recruit watu wa kujiunga na jeshi hilo la police kitengo cha uhamiaji. nashukuru
 

Soso J

JF-Expert Member
Aug 17, 2011
1,977
1,211
jaman jaman!uhamiaji na polisi sio kitu kimoja japokuwa wote wana enforce law,na polisi wanaweza fanya kazi za uhamiaji lkn uhamiaji hawawezi fanya kazi za Polisi!kikubwa kabla haujaandika thread ujue haswa unachotaka kukifanya au ukishindwa kuwa na source nzur kwa hilo unalolitaka basi sisi wana JF tupo kwa ajili ya nnyie ambao uelewa ni mdogo.....
Uhamiaji wana maadili yao ya kazi tofauti na Jeshi la Polisi na wala uhamiaji sio Jeshi!uhamiaji ni watu ambao intake zao za depo zinategemea na mwaka husika wa mafunzo yao na uhamuzi wa mipango ya wizara ya mambo ya ndani,inategemea,kuna wakati wanafanyia mafunzo yao Kiwira-Mbeya,kuna wakati wanafanyia mafuzo yao pamoja na jeshi la Polisi ktk vyuo vya Polisi,kule Kiwira ni chuo kinachojitegemea cha Jeshi la Magereza!
nadahani ndugu yangu utakuwa unajua mambo haya japo kidogo.......
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom