T Tolerant Member Aug 22, 2011 6 0 Aug 24, 2011 #1 Kama ulivyo ustaarabu unapofika ugenini lazima ubishe hodi uweze kukaribishwa! Hodi jamani! Mgeni wenu hodi!
Kama ulivyo ustaarabu unapofika ugenini lazima ubishe hodi uweze kukaribishwa! Hodi jamani! Mgeni wenu hodi!
Washawasha JF-Expert Member Aug 7, 2006 16,652 13,077 Aug 24, 2011 #3 karibu lakini mbona unabisha hodi dirishani? Ungebisha hodi mlangoni kule (member intro forum)
TNA Member Aug 24, 2011 18 3 Aug 24, 2011 #5 hivi mgeni si unaweza kumkaribisha mgeni mwenzio?...karibuuu pita mpaka ndaniii....
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,641 Aug 24, 2011 #6 karibu ila hapa stori tu alowance ofsini kwenu
Jaguar JF-Expert Member Mar 6, 2011 3,438 1,026 Aug 24, 2011 #8 Karibu sana mgeni,tuambie utakaa nasi siku ngapi?
M Marandura Senior Member Jul 21, 2011 105 11 Aug 25, 2011 #10 Mgeni karibu. Unakunywa kinywaji gani?