Im in love with FF

Sa jamani Ivuga mie mbona nimekufa nimeoza juu yakoo!! :typing:
mmm nilikuwa sijaiona ... haaa yaani umeoza kabisa juu yangu.. ngoja nikupm nikuite kwenye interviu kwanza ,kama unatoa mambo flesh nakuchukua naachana na uyu bibi kidude
 
ni mwanamke strong sana na mimi hawa ndio ninao wataka...so simple to be with her
Yeah I prefer to deal with strong women wasiolialia kama vile dunia imewadondokea...good to be in control of those powerful ladies trust me....ila chonde chonde Usije ukampiga picha tu
 
Wajameni mimi huyu mtoto jinsi siku zinavyozidi kwenda ndio nazidi kumuwaza na ku-imagine vitu mbali mbali sijui nitampataje.
Pls!! usije dnt bring polits and hate posts in this thread lets enjoy uumbaji wa Muumba
utafaidi sana, ila kuwa makini coz mitaa inasema FF ana jinsia mbili.
 
Patachimbika hapa! Ngoja nitafute popcorn zilipo.
 
Patachimbika hapa! Ngoja nitafute popcorn zilipo.
 
mtakatifu, na ww unatafuta wa kukulelea? manake FF mkali, atahakikisha unawajibika ipasavyo! mie i wish angekua mama mkwe wangu, sijui wale vijana wake wa ulaya wameshaoa?
 
Tahadhari siku mkipanga kuonana live hakikisha unakuwa wakwanza kufika mlipopanga kuonana kisha unajificha iliumuone kwanza.
Nahakika utatoka mbio bila hata kumsabahi maana post zake tu zinaonyesha ni mwanamke fulani hivi mkavu, hana mvuto na kajikatia tamaa na kuolewa na maisha, kitu pekee kinacho.mfariji ni ubishi tu

aisee...
 
Back
Top Bottom