Hii uliyotoa ni jibu muafaka kwa wasiotutakia mema.Ni ajabu katika kipindi hiki vita ya kupigania katiba mpya,ambayo itarejesha mustakhabali wa nchi kwa Watanzania wenyewe na Viongozi waliojitolea mda wao na maisha yao na hawajaonyesha uoga wowote katika suala hilo nyeti. Mtu anajitokeza...
Nashukuru sana Mkuu Joyce kwa kazi unayoifanya kwa ajili ya jamii ya kitanzania, huu ni mda mwafaka kuishirikisha jamii nzima ya Kitanzania kuja na definition ya mtoto awe na umri gani.Inasikitisha kuona bado tatizo la ukosefu wa elimu Tanzania kuna baadhi ya wenzetu hawajafanikiwa...
Hizo huduma unazosema zinaweza kuwepo sehemu husika kwa kufuata vigezo vya kiuchumi na urahisi wa kuwafikia walengwa. Vilevile ukumbuke kuna mawasiliano ya kisasa ya kutumia Email, scanner n.k vyote hivi ukijumlisha unaweza kupunguza gharama za kuendesha serikali kuliko mtindo huu wa kuongeza...
Ndugu wanabodi hawa ni mapandikizi wa al -qaeda na hii is a new version of politic islam ambayo imeanzia Saudi-arabia kwa kusaidiwa na CIA wakati wa kupiga vita comminism ya soviet union. Sect hii inaitwa Wahab na wao itikadi yake ni ubepari wa kizamani Feudalism. Kwa sasa hivi sect hii...
Nashauri sektretarieti mpya ya CCM imemshawishi Professor Boaz anafundisha Wahington University agombee nafasi ya Urais. Hawa waliojitokeza mapema kuutaka Urais wameonekana hawafai machoni pa Watanzania walio wengi na hii ndiyo njia pekee ya kukabiliana na upinzani mkali unaoonyeshwa na CHADEMA.
Hizo ndoto ndiyo zimesababisha kuingia kwa Muslim Brotherhood Egypt na Syria.Tawala za kijeshi za nchi hizi zilikandamiza Muslim Brotherhood kwa mda mrefu, wale jamaa wakaingia underground.Waarabu walipogundua kuwa adui wao mkubwa ni uoga wakaamua kuushinda uoga na sasa hivi munaona matokeo...
Ni vizuri CDM ikaandaa mfumo mzuri wa utendaji serikalini.Matumizi ya kiutawala yaangaliwe upya kwa kuzingatia rasilimali zilizopo na vipaumbele vya Taifa.Nina imani kabisa wakijipambanua kwenye eneo hili la gharama za uendeshaji wa Serikali na kuonyesha dira yao ya Uongozi itakayoongeza Tija ya...
Nakubaliana na bandiko la 9 kuhusu kutufanyia kazi tatizo la kimsingi la tija ndogo katika uzalishaji mali kukidhi mahitaji ya kiuchumi ya nchi.Utawala wa Mwalimu uliweka Azimio la Arusha kama hatua ya awali kukidhi mahitaji ya kiuchumi na kijamii.Hali hii ilisaidia kuwapa matumaini Wananchi juu...
Hali hii inasikitisha sana,uhai wa mtu ni kitu chenye thamani.Nasikitikia sana wategemezi wake kwa kumkosa kiongozi wa familia.Nafikiri ni kipindi hiki sisi watz tufanye tathimini ya mambo haya yanazidi kushamiri.Nafikiri mapungufu ya kikatiba nayo yanachangia sana mauaji ya holela ni kipindi...
Hii kampuni ilianzishwa kwa nia nzuri kabisa, tatizo uendeshaji wake ulikuwa na matatizo.Kampuni hii ilikuwa njia murua kabisa kushiriki kuendesha uchumi wa nchi kwa njia ya kununua hisa kwenye miradi mikubwa inayoendeshwa na wageni kama uchimbaji wa madini,mabenki,ujenzi wa vitega uchumi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.