Ponda aachiwe mara moja - Lipumba

Ponda aachiwe mara moja - Lipumba

chadema imekuwa chama cha ukiristo mno sasa, kilivyoanza nilihamasika na nilitamani kiungane na CUF ili tuing'oe CCM madarakani ila ss hv ni wazi kuwa mnasimamia kanisa na kiongozi yoyote wa kiisalm ni mdini ila wa kikristo ndio mwanademokrasia, tunapokwenda huku sipo, ila kama ni hivyo mnataka kanisa ndio litawale nchi basi ingizeni chama rasmi cha kanisa na sisi tutaingiza cha sheria na mahakama za kiislam, halafu kwa mujibu wa sensa yenu ile ya TBC mnaaminishwa kuwa nyinyi ndio wengi ila sote wenye akili timamu tunajua wengi ni kana nani, na kwa taarifa yenu tu khilafa will be back, i am sure u can read the signs egypt, mali, nigeria, middle east, somalia, kenya, tanzania, asia, russia, europe and america. Nd sisi hatuna chuki na wakiristo wala wasiokuwa waislam bali nyinyi wengi wenu mmepandikizwa chuki, soon we will rule the world peacefuly

maneno yako ni sawa na kuota uko ndani y coffin kumbe umelala kitandani nakuja kuamini kwamba hamna tofauti kati ya mwislam aliyekaa darasani au laa wote mawazo ya kijiweni eti mtatawala dunia wait and see mkuu,hamna kichwa chakutawala dunia kwa mawazo haya heri yake mohamed mtoi anayejua kutumia elimu aliyoipata
 
Last edited by a moderator:
kama ilivyo kwa chadema ambapo kumejaa wachungaji na maaskofu na watoto wa wachungaji,angalia mchungaji msigwa,mchungaji israel natse,padre slaa na mtoto wa mchungaji joshua nasari

Nashukuru umewataja hao, je ponda ataweka mguu hapo?
 
Binafsi sikuamini kauli iliyotolewa kama ni ya Prf Lipumba kweli.hivi kiongozi kama Lipumba anaweza kuwatetea wahalifu waliotenda makosa ya wazi wazi!!?.hawa ndio viongozi wanaotaka kuja kuwa raisi baadae halafu utegemee Tanzania itaendelea thubutu!

infact LIPUMBA anatumikia mabwana wawili uislamu upande mmja na siasa upande mwingine.anataka kote apendwe kitu ambacho ni kigumu sana.
 
kama ilivyo kwa chadema ambapo kumejaa wachungaji na maaskofu na watoto wa wachungaji,angalia mchungaji msigwa,mchungaji israel natse,padre slaa na mtoto wa mchungaji joshua nasari

Nashukuru umewataja hao, je ponda ataweka mguu hapo? Ubugo kumejaa kitimoto ponda ataweza? Usipime hangaikeni na magamba.
 
Hivi huyu Bwana si ndio alihusika na kuhamasisha watu wagomee sensa.., na fujo zilitokea kutokana na maandamano / mkusanyiko ambao na yeye alihusika ? au hayo sio makosa kwa mujibu wa sheria zetu ?

I might be wrong lakini nadhani Tanzania is a safer place bila huyu ndugu yetu kuwa uraiani

Teh teh teh...Lipumba si aende kumuwekea dhamana? Ili kesho na yeye ashikwe shati maana anataka kusema kutiwa kwake ndani ndio chanzo cha kuvuruga amani wakati anajua fika Shekhe Ponda ni muhubiri mkubwa wa siasa za chuki na kubaguana watanzania.
 
Ndiyo maana ana sugu usoni, professor mzima kusujudi majini.
 
Lipumba ka copy na ku pest report ya mwanasheria marando hakuna jipya aliloongea, alimshauri nn mzee Mwinyi wakati akiwa Ikulu? Ndiyo maana ccm wakamtelekeza baada ya kuona mapungufu mengi yalikuwa ya kitaalam rais alipotoshwa akashindwa kuimarisha uchumi, na ccm wanamlea majukwaani kwa sababu hajawai kuwa tishio kwao. Cuf kinamfia.
 
Kwenye mashitaka yaliyomweka ndani Ponda kuna mashitaka mengi makbwa zaidi ya hilo la kuchoma makanisa,Pr. Lipumba asichanganye jinai za Ponda na makanisa
 
Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba ameitaka serikali kumuachilia kwa dhamana Sheikh Ponda Issa Ponda kwani amewekwa ndani kinyume na utaratibu.
Prof Lipumba amedai kusema kwamba Sheikh Ponda alihusika na uchomaji wa makanisa ni uongo na kitendo cha kumkamata ndicho kilichochochea vurugu zilizofanyika wiki iliyopita.Amesema ili kurejesha amani na kunusuru nchi kuingia katika mfarakano ni lazima kwanza kiongozi huyo wa waislam aachiliwe huru.
Source:Mwananchi.

INANIPA HOFU KUMFIKIRIA lIPUMBA KAMA RAIS, KAMA ANATETEA WAHALIFU SASA, AKIWA RAIS PONDA ATAFANYA FUJO KUBWA, KWA KIBALI CHAKE. NDIO MAANA ............ WANAMPENDA WANGEPENDA AWE RAIS WAO. KWA USEMI WAKE HUO TUSIMCHAGUE KUWA RAIS WETU AWAMU IJAYO.
 
nyie wakristo siwalaumu sana kwa hayo mnayoyasema coz hamjui myasemayo wala mnayotenda, alieanzisha udini tanzania marehemu ngedere laanatullah yupo kaburini sasa hv anapoke kichapo chake daily, sisi waislamu hatuna chama tunachofungamana nacho coz hakuna chama chochote tanzania chenye sheria za kiislam, ila nyinyi chama chenu cha kanisa aka chadema kipo kuwatetea, na msitake kutupumbaza kuwa eti kikwete mdini kwetu sisi waislam hana mchango zaidi ya kutalii nchi mbalimbali na kushangaa shangaa tu. Ila ngoja niwape siri moja karibuni tunaanzisha chama chetu muslim brotherhood, naam kile kilichochukuwa nchi egypt na kinaendelea kuenea duniani sasa hapo tutakuwa na chama cha dini kabisa tuone kama mtatuzuia, soon come nd no one can stop us now
Hiyo tafasiri yako wale hawaongozi kidini kama unavyofikiri jina hilo la Muslim Brotherhood lisikusumbue.
 
BAKWATA ipo kisheria ndio. Ndio maana inamiliki mali. Inaendesha IBADA za KIISLAM kitaifa kama jana kule Mwanga. Nikwambie jambo moja Ritz: Mkifanikiwa kuivunja BAKWATA hamtaweza kuunda umoja kama huu nchi hii. Waislamu ni ndugu zangu, ni shemeji zangu, ni majirani na marafiki zangu wakubwa. Nawafahamu. Sio wamoja kiivyo. Hawawezi kuunda chombo cha pamoja kama ilivyo BAKWATA ambayo ina uongozi wa wilaya, mkoa hadi TAIFA.

Hata hivyo, KATIBA na sheria za NCHI haziwakatazi kuunda umoja mwingine mbadala wa BAKWATA. Kwa nini mnang'ang'ana BAKWATA ife kwanza au inyang'anywe mali ilizonazo? Sifurahii "ndoa" ya BAKWATA na CCM na serikali yake, lakini chombo hiki kipo kisheria kama ilivyo TEC, CCT, PCT na vingine. Dawa sio kuiua BAKWATA. Dawa ni kuanzisha chombo kingine mbadala.

Mkuu unafanya reference kwa shemeji zako...
 
Huo ndio uwezo wako wa kufiri huna hoja, na mkipewa nafasi mnaishia kuliaibisha taifa maana umeelewa kwamba ni typing error but unadhihilisha nilichokisema, Chadema labda wawaongeze ninyi pekee ila kwa nchi yote sahau mkuu!

Kizuri ni kizuri lakini kilichobora ni muhimu sana,inawezekana ukawa upo sahihi kwa unachosema lakini huwezi kuusemea umma wa Watanzania woote hapana acha umma ndio utakaoamua nani wamuondoe na yupi abakie.
 
Uprofesa ni Chuoni ... ukishatoka huko, kwa taratibu za kiakademia hatakiwi kuitwa tena profesa. Mifano, ni akina Condoleeza (USA), Gordon Brown, (UK) n.k.
 
kuendesha siasa kwa kufuata matukio ni hatari sana,kwa ujumla kuna kitu fulani nyuma ya pazia.Labda kwa sasa hii ndio siasa safi isiyofuata sheria ni amri tu la sivyo panachimbika,hatatafika mh. kwa siasa hii?.Kwa hiyo ndio kusema kama hakuna matukio yoyote ninyi kwenu ni njaa au inakuwaje?
 
Kwenye mashitaka yaliyomweka ndani Ponda kuna mashitaka mengi makbwa zaidi ya hilo la kuchoma makanisa,Pr. Lipumba asichanganye jinai za Ponda na makanisa


si unajua tena yaleyale ya kusafiria nyota ya mwenzako na ile falsafa ya kijapan "palipo na mzozo,pana fursa" na ukizingatia hakuna propaganda nyingine kwa sasa zaidi hii ya udini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom