Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,746
- 145,485
Kwamba Wakatoliki hawana adui is hilarious. This guys must not have heard of Sinead O'Connor. And that's just sticking with the overly Catholic Irish. I am not even looking into Al-Qaeda.
Kwamba makosa ya jinai hayahitaji dini wala dhehebu haimaanishi kwamba makosa ya jinai hayawezi kufanywa na dini au dhehebu.
Viongozi wa Wakatoliki wenyewe wanavyobaka na kutetea ubakaji wa watoto ni mfano mzuri wa jinsi gani makosa ya jinai yanavyoweza kufanywa na dini au dhehebu.
Ukishasema uchunguzi uwe huru, hutakiwi kusema "bila ya kufungamanisha dini yoyote". Ukisema " "bila ya kufungamanisha dini yoyote" ushaunyima uchunguzi uhuru, what if it turns out hii attack ni ya kidini after all?
Kwa msingi huu wa kutaka kuwa expediently sceptical, naweza kuhoji kwa nini hili linaitwa "shambulio".
Inawezekana kabisa Wakatoliki wenyewe wamefanya kafara katika ibada ya kumsimika Papa mpya Tanzania.
Tuna ushahidi gani kwamba hilo bomu ni shambulio na si zindiko la Opus Dei?
- For those who don't get it, let me point this out. The above is a piece of sarcasm, mocking the presented idea to be just as ridiculous as the "zindiko la Opus Dei" I presented above.

Last edited by a moderator: